Je, kanisa la TAG nalo limeunga juhudi?

Je, kanisa la TAG nalo limeunga juhudi?

Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Funika kombe ndugu yangu...
 
Mbona baadhi maaskofu wakiiponda serikali mnakuja haraka humu kuandika uzi!?.. Wengine wakisifia inakua nongwa!. Msitake kulazimisha kusikia mnayoyataka kusikia ninyi!.
Je wanafanya kama taasisi na rasmi kama huyu? Au wanatoa mitazamo yao binafsi?
 
Uongozi wowote duniani unatoka kwa Mungu. Uongozi wa Rais Magufuli unatoka kwa Mungu. Kama wewe unafikiri uongozi unatoka Ubeleji, subiri uone.

TUKUTANE OKTOBA 28!
Hayo maneno alisema Yesu au Warumi wakutawale..kuwa na akili
 
Hawa maaskofu na mapadre wa siku hizi wanamiliki biashara balimbali ili kulinda miradi yao nao wameone wawe praise team.
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Huyo Mtokambali ni ibilisi halisi.
Haoni jinsi wananchi walivyoporwa uhuru wao ktk awamu hii?
Bila uhuru hakuna haki. Bila haki hakuna amani.
TAG wamekuwa sehemu ya kuinajisi haki ya Watanzania.
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Dini siku hizi ni takataka Mkuu.

Ukiwa na sadaka yako msisaidie mhitaji jirani yko inatosha.
 
Mbona baadhi maaskofu wakiiponda serikali mnakuja haraka humu kuandika uzi!?.. Wengine wakisifia inakua nongwa!. Msitake kulazimisha kusikia mnayoyataka kusikia ninyi!.
Tatizo siyo kuponda walakusifia serikali serikali.

Suala ni kusimama na wananchi kwasababu miserikali yote duniani ni DHALIMU na inawaumiza wananchi hasa wasiojiweza sasa kama hakuna wa wa kuwasemea wanapoumizwa hilo wanaloita kanisa nini zaidi ya TAKATAKA.

Biblia hawasomi wao tu.

Hakujawahi kuwa na MITUME wa biblia wanaojikomba komba kwa watawala kama hawa pimbi wa kizazi hiki.
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Ndiyoo, kwani tatizo?
 
Uongozi wowote duniani unatoka kwa Mungu. Uongozi wa Rais Magufuli unatoka kwa Mungu. Kama wewe unafikiri uongozi unatoka Ubeleji, subiri uone.

TUKUTANE OKTOBA 28!

..Je, ni raisi peke yake ndiyo anatokana na MUNGU?

..viongozi kama wenyeviti wa mitaa, madiwani, wabunge, wao hawajatokana na MUNGU?

..mimi nadhani kila kiongozi, na kila mmoja wetu, athamini uwepo wa mwenzake.
 
TAG si ni wahuni kama wahuni wengine! Kama hawakuyaona haya, ni WAJINGA, WAPUUZI
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
Ushahidi uko wapi? Kanisa la TAG, na Katoliki ni makanisa yenye uimara kwenye mifumo

Hayaendi kwa mihemuko ni kwa ushahidi usio na Shaka ndipo wadimamie Jambo

Sio porojo za mitandaoni

Chadema hawajui siasa wanagombea. Na kila mtu vyombo vya dola wanagombana navyo, serikali wanagombana nayo,bunge spika na Naibu spika wanagombana nao ohh bunge dhaifu mahakama wanagombana nyo ohh mahakama CCM hiyo, viongozi wa Dini wanagombana nao ohh waunga juhudi!! Vyombo vya habari wanagombana nao kwa kusema havitaki kurusha habari zao zilizo kinyume na maadili ya uandishi!!!

Naiona chadema itashidwa uchaguzi mapema asubuhi toka waondoke akina Slaa na akina Lowasa Chadema limekuwa chama lililopagawa linagombana na kila mtu halijuwi kujenga mahusiano mema ambayo Ni muhimu kupata ushindi

Kushinda uchaguzi si kutegemea sanduku la kura tu!!!!!!
 
..Je, ni raisi peke yake ndiyo anatokana na MUNGU?

..viongozi kama wenyeviti wa mitaa, madiwani, wabunge, wao hawajatokana na MUNGU?

..mimi nadhani kila kiongozi, na kila mmoja wetu, athamini uwepo wa mwenzake.
Uongozi wa Chadema wote uliopo na wagombea wao unatoka kwa shetani
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928

Mleta mada huyu anataka kutupotosha. Tuzo ilitolewa kwa maelezo kuntu na mbashara. Acha ushabiki
 
Wanaojitambua hawawezi kuiga ya kina Bandekile na Bagonza. Jiheshimu
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
 
..Je, ni raisi peke yake ndiyo anatokana na MUNGU?

..viongozi kama wenyeviti wa mitaa, madiwani, wabunge, wao hawajatokana na MUNGU?

..mimi nadhani kila kiongozi, na kila mmoja wetu, athamini uwepo wa mwenzake.
Kwani niliposema "Uongozi unatoka Mungu" kuna mahali nimeandika "Uongozi wa Urais"? Au ni matatizo ya kuchelewa kuelewa na kuwahi kujibu?
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
wamefanya uchunguzi kati ya mtu aliyezunguka barani ulaya kueneza chuki dhidi ya nchi yake na yule ambaye anamadaraka lakini hajawahi kwenda hata hapo kwa malkia wakagundua nani ni mzalendo wa kweli,endapo nchi hii mambo yakiharbika yupo,atakayefia hapahapa na yupo atakayekwenda ubelgiji.
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
TAG Hali ya makusanyo ya sadaka sio powa.
 
Byue watu Magufuli ni mteule wa Mungu na mpakwa mafyta wa BWANA. Kupingana nayr nivkwenda kinyume nna amri ya Mungu. Ukiobana wachungaji, mashehe, wanamziki wanamuunga mkono hao ndo wana watu wengi sana nyuma yao, na kama una akili timamu basi mtu wa aina hii kupambana naye haiwezekani.
 
Back
Top Bottom