Je, kanisa la TAG nalo limeunga juhudi?

Je, kanisa la TAG nalo limeunga juhudi?

Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Hawa ni wasaka sadaka. FPCT nao walikuwa na mkutano hapo Dodoma wiki iliyopita ila naona wao wameamua kuukwepa huo mtego wa MATAGA. Once ukishakuwa upande wa waovu nawe mi muovu tuuu.
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Kweli kabisa kanisa la TAG lime jidhalilisha kabisa,limefichua uchi wake
 
Uongozi wowote duniani unatoka kwa Mungu. Uongozi wa Rais Magufuli unatoka kwa Mungu. Kama wewe unafikiri uongozi unatoka Ubeleji, subiri uone.

TUKUTANE OKTOBA 28!
Hahaha mtu ambaye hakushinda 2015 alitangazwa mshindi bila ridhaa, anatokaje kwa Mungu
 
TAG hawajielewi, wanajua kujipendekeza kwa kaisali, unampaje tuzo binadamu ambaye anawatukana wanawake kila kukicha???? unampaje tuzo binadamu ambaye kwa miaka yote amewanyanyasa raia wa nchi yake ambao ndiyo waumini wenu??? Hizi taasisi za kidini zimegeuka kuwa waimba mapambio ya jiwe.
 
Aliye mwandikia speech Askofu mtokambali Mungu anamwona.. maana sifa alizopewa Magu leo hata Mungu pengine hajawahimpewa..

Speech utadhani imeandikwa lumumba.
TAG hawajielewi, wanajua kujipendekeza kwa kaisali, unampaje tuzo binadamu ambaye anawatukana wanawake kila kukicha???? unampaje tuzo binadamu ambaye kwa miaka yote amewanyanyasa raia wa nchi yake ambao ndiyo waumini wenu??? Hizi taasisi za kidini zimegeuka kuwa waimba mapambio ya jiwe.
 
TAG hawajielewi, wanajua kujipendekeza kwa kaisali, unampaje tuzo binadamu ambaye anawatukana wanawake kila kukicha???? unampaje tuzo binadamu ambaye kwa miaka yote amewanyanyasa raia wa nchi yake ambao ndiyo waumini wenu??? Hizi taasisi za kidini zimegeuka kuwa waimba mapambio ya jiwe.
Anayewatukana wanawake ni Lissu anaetaka kutunga sheria ziruhusu USHOGA ili wanawake mkose haki zenu za ndoa!
 
Naona mnavyo gawanyika.. siasa waachieni kina bashite na lusinde.. hubirini injili.

Pengine mnampongeza kwa kuokoa sadaka zenu.
TAG wako Sahihi na Wala hawana kosa katika Hilo.....
 
Leo Mh Rais amepewa tuzo na kanisa ambalo enzi za Lina Lazaro na Mzee Klora lilikuwa ni kanisa ambalo lilitela matumaini.

Sipingi kumpa tuzo lakini naangalia hotuba ya Askofu mkuu Bwana Mtokambali kwa kuamua kuwa sehemu ya praise timu bila kuangazia mambo ambayo katika jamii yamezorota kuliko vipindi vyote vya urais wa nchi hii.

1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini

Mambo hayo ndiyo kanisa lilitakiwa kuwa jicho. Hakuna nabii kwenye Biblia aliye heka na mfalme mwovu.

Tanzania Assemblies of God, mmepotoka!

View attachment 1536928
Wanaounga juhudi ni hao Maaskofu wanaokusanya sadaka za waumini , lakini waumini wote kura zao ziko kibindoni
 
viongozi wengi wa dini hapa Tanzania hasa walokole (TAG) akili zao zinawatosha kwenda chooni tu.....CORONA BADO IPO TANZANIA NA INAUA TUJIHADHARI!
 
Hayo makanisa ya kipentekoste waga yako kibiashara zaidi na ni watu wanathamini sana waumini wenye fedha.

Hawapendi kabisa mtu ambaye labda anaweza kuomba msaada fulani kanisani, hawapendi na viongozi wao ni watu wanaopenda kuishi kimatanuzi sana.

Sasa kuna moja alikutwa akaunti yake binafsi ikisoma 8.1Bl...!! Kitu ambacho huwezi kukuta kwenye makanisa mengine.
 
Kama wanachofanya ni kujipendekeza Basi Mungu hua anaingilia kati lakini kama kweli wanachofanya kina baraka za Mungu basi hakika tuzo yao itapokelewa mpaka mbinguni.

Lakini labda hawayaoni Mateso makubwa wanayoyapata watanzania wenzao wanaofanya kazi zao za siasa kikatiba ukilinganisha na Raha, madaraka ,mamlaka, heshima, utukufu, enzi, nguvu, utajiri na kila sifa wanazopata wa upande wa Tuzo .
Mungu wa Elia yupo wapi??

Wamesahau kuwa utawala wa Mwinyi na Kikwete ndio ulioimarisha makanisa yaliyoitwa ya waasi Kwa kutoa Uhuru wa kuabudu.
Wakaulize kuhusu Muasisi wa makanisa ya kipentekoste ,Moses Kolola enzi hizo za Chama kimoja na adha kubwa aliyoipata kwa kuanzisha injili ya kupingana na makanisa makongwe akiyaita makanisa ya mapokeo na yeye akiyaita ya kwake kuwa ni ya kiroho.

Tupongeze lakini tujue wema na uzuri wa Demokrasia ili isije ikapotea mana hata ibada zitapangiwa cha kuhubiri Jumapili na Ijumaa mana adui wa Utawala wa mfumo wa Chama dola ni Dini zenye mtizamo wa kimaandiko .
 
MSwali mazuri sana hayo.. yanahitaji majibu.. nadhani wengi humu ni waumini wa hayo makanisa.
Kama wanachofanya ni kujipendekeza Basi Mungu hua anaingilia kati lakini kama kweli wanachofanya kina baraka za Mungu basi hakika tuzo yao itapokelewa mpaka mbinguni.

Lakini labda hawayaoni Mateso makubwa wanayoyapata watanzania wenzao wanaofanya kazi zao za siasa kikatiba ukilinganisha na Raha, madaraka ,mamlaka, heshima, utukufu, enzi, nguvu, utajiri na kila sifa wanazopata wa upande wa Tuzo .
Mungu wa Elia yupo wapi??

Wamesahau kuwa utawala wa Mwinyi na Kikwete ndio ulioimarisha makanisa yaliyoitwa ya waasi Kwa kutoa Uhuru wa kuabudu.
Wakaulize kuhusu Muasisi wa makanisa ya kipentekoste ,Moses Kolola enzi hizo za Chama kimoja na adha kubwa aliyoipata kwa kuanzisha injili ya kupingana na makanisa makongwe akiyaita makanisa ya mapokeo na yeye akiyaita ya kwake kuwa ni ya kiroho.

Tupongeze lakini tujue wema na uzuri wa Demokrasia ili isije ikapotea mana hata ibada zitapangiwa cha kuhubiri Jumapili na Ijumaa mana adui wa Utawala wa mfumo wa Chama dola ni Dini zenye mtizamo wa kimaandiko .
 
Naona mnavyo gawanyika.. siasa waachieni kina bashite na lusinde.. hubirini injili.

Pengine mnampongeza kwa kuokoa sadaka zenu.
Mkuu Wangu Nimeongelea umuhimu wa viongozi wote wa DINI katika BUSARA ZAO kuuweka mzani wa Mambo SAWIA.....

Binafsi si mchungaji,SI mwanaTAG Wala sifanyi ibada huko....
 
Back
Top Bottom