youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Mwakasege sio mtumishi wa Mungu wa kweli bali wa Ibilisi.
Ole wao wamdhiakio roho wa Mungu.Mwaksege ni mtumishi wa Mungu tena mpakwa mafuta wake na mpendwa katika wapendwa wake ndugu
Mwakasege sio mtumishi wa Mungu wa kweli bali wa Ibilisi.
kiwango cha elimu kimeshuka sana mkuu na hizi ndizo baadhi ya athari zake.
guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.
Biblia inasema; kila mtu atachukua msalaba wake. Tena Yesu alisema atakaye kunifuata aubebe msalaba wake na anifuate.
Kama umeamua kwenda huna haja ya kutafuta kampani, wewe nenda wala usigeuke nyuma ukawa kama mkewe Lutu.
i knw mpendwa,but hiyo ilikua ninjia yafikisha ujumbe tu ndugu.
hamna bana ,ni tofauti ya mitizamo tu,hata hivyo nisingependa kuharibu thread ya mwanakondoo kipochi kwa malumbano.tatizo upewo wako ni mdogo sana!
haaa kumbe yupo Mwanza na siku akija DSM,Utuambie hapa jukwaani,huko mwanza atasema ratiba zake kwa mwaka huu so utujulishe bana......nenda ukavune busara huko,na mchumba utapata.....
Najua mtanichana. pamoja na kuwa mwakasege ni mlutheri mwenzangu mi simkubali kabisa toka alipoingiza somo la uchumi kwenye mahubiri yake. Before he was good. alipoijua shilingi mmmmh.
Mwakasege sio mtumishi wa Mungu wa kweli bali wa Ibilisi.
hamna bana ,ni tofauti ya mitizamo tu,hata hivyo nisingependa kuharibu thread ya mwanakondoo kipochi kwa malumbano.
Mamndenyi mi nadhani alipojikita katika utaratibu wa wanandoa kwenda kuhiji Jerusalem as if tumeamriwa na maandiko kufanya hivyo ndipo nilipomstukia lakini bado ni Mwl mzuri sema mambo ya fedha yanamwondoa katika mstari.
Wewe ndie pepo mchafu uliyebadili muda wa kula badala ya mchana unakula usiku ujidai eti------.
Wewe ndie pepo mchafu uliyebadili muda wa kula badala ya mchana unakula usiku ujidai eti------.
Mbona huwa haendi vijijini?