Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Si shangai maana roho ya mpinga kristo inafanya kazi becouse ni wakati wake.wewe uaminie Mungu yupo endelea kuamini na wewe usiyea amini endelea kutokuamini ndugu jehanamu inakuongoja na malaika wa hukumu atatoa hesbu zake mbele ya haki
 
guys, natamani kwenda kwenye mahubiri ya mwakasege
kesho,kwa yeyote aliyepo mwanza ambaye kesho ataenda kwenye semina,anijulishe tupeane kampani.

Biblia inasema; kila mtu atachukua msalaba wake. Tena Yesu alisema atakaye kunifuata aubebe msalaba wake na anifuate.
Kama umeamua kwenda huna haja ya kutafuta kampani, wewe nenda wala usigeuke nyuma ukawa kama mkewe Lutu.
 
haya mama/baba nimekuelewa
 
haaa kumbe yupo Mwanza na siku akija DSM,Utuambie hapa jukwaani,huko mwanza atasema ratiba zake kwa mwaka huu so utujulishe bana......nenda ukavune busara huko,na mchumba utapata.....

Mbona huwa haendi vijijini?
 
Najua mtanichana. pamoja na kuwa mwakasege ni mlutheri mwenzangu mi simkubali kabisa toka alipoingiza somo la uchumi kwenye mahubiri yake. Before he was good. alipoijua shilingi mmmmh.
 
Mamndenyi mi nadhani alipojikita katika utaratibu wa wanandoa kwenda kuhiji Jerusalem as if tumeamriwa na maandiko kufanya hivyo ndipo nilipomstukia lakini bado ni Mwl mzuri sema mambo ya fedha yanamwondoa katika mstari.

Najua mtanichana. pamoja na kuwa mwakasege ni mlutheri mwenzangu mi simkubali kabisa toka alipoingiza somo la uchumi kwenye mahubiri yake. Before he was good. alipoijua shilingi mmmmh.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mi nadhani alipojikita katika utaratibu wa wanandoa kwenda kuhiji Jerusalem as if tumeamriwa na maandiko kufanya hivyo ndipo nilipomstukia lakini bado ni Mwl mzuri sema mambo ya fedha yanamwondoa katika mstari.

Hapana ilikuwa kabla ya hilo ni wakati wa mahubiri ya jangwani. Mwakasege anaijua vizuri bible so anaona akichomekea maombi ya pesa kupitia hiyo atapata na kweli anapata. Atakapobadilika arudi kufundisha watu neno la Mungu ili waache mabaya ndipo nitamrejelea tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom