kamanyora
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 209
- 133
Wadau staff mwenzangu kaja kuniomba ushauri,
Anasema alimuoa mkewe akiwa na mtoto lakini alimuambia kwamba jamaa huyo waliezaa nae hajali huyo mtoto wala hamuudumii huyo mtoto,wala hana mawasiliano nae,huyu rafiki yangu ndo akawa anamuhudumia huyo mtoto na kumlipia ada ya shule na kila kitu,wiki iliyopita mkewe alisafiri jamaa akawa anamdadisi mtoto yule mtoto akamwambia kwamba hua anaongea na babake na pia amewahi kumtumia pesa kwa mamake kama mara mbili na pia kuna kipindi huyo babake alikuja hapa dsm(jamaa yuko mkoani) na akaambiwa na mamake,
sasa jamaa akawa anasema kuna nini mkewe anajaribu kumficha hadi anafikia hatua anatumiwa pesa na huyo jamaa na huku yeye anamkatalia?
akawa na mawazo sana,je ungemshauri nini?