Je, jumuiya za wakatoliki mitaani zinaruhusiwa kufanya siasa?

Siyo Mara ya kwanza kabisa katoliki kutumika vibaya hata uchaguzi wa 2010 jumuiya zilitumika lakini mwisho wa siku wapiga kura walifuata matakwa Yao na Ccm ikafanya kweli.Chadema watatumia mbinu zote chafu lakini watanzania wanaiamini Ccm kama chama imara kushika dola.bado Ccm itavuka tuuu.Pasaka njema
Kweli kabisa walishindwa vibaya watu huwa wanafuata matakwa yao
 
Kwa hiyo huyo ndiye atakayechuja majina ya wagombea ubunge na udiwani wa jumuiya zote za katoliki na kupeleka mapendekezo kwenye vyama vya siasa kuwa huyu ndie mgombea eneo la udiwani au ubunge bila kushirikisha jumuiya zingine kama za wa walutheri,waanglikana,wasabato,wapentecoste na waislamu,za umoja wa makabila na zile za kufa na kuzikana ambazo ziko mitaani ambazo nazo zaweza kuwa na wagombea wao?
Mimi nimeongelea jumuiya za Kikatoliki...kama hujui hata ccm wame c&p huko!
 
Ndugu yangu, kama huioni fact, basi kaa na ubaki hivyo hivyo...kama wewe ni muumini wa Kanisa Katoliki utakuwa umeiona fact...ila kama hiyo fact unaiona lakini unajifanya huioni au unaipuuzia then it is a problem
Where is the fact?
 
Back
Top Bottom