johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,809
- 141,713
Ninaijua nguvu ya jumuiya za makanisa mitaani na hasa Kanisa katoliki katika mambo ya kiimani na kijamii lakini kwa upande wa siasa bado sijajua.
Jana pametolewa tamko pale Mbeya kwamba jumuiya za katoliki mitaani zianze mchakato wa kuwaangalia watu wanaofaa kuwa viongozi wa serikali za mitaa na udiwani/ ubunge.
Swali ninalojiuliza hawa wanajumuiya wataangalia watu wanaofaa kutoka miongoni mwao au wataangalia " duniani " kote maana isije ikaibuka harufu ya udini na udhehebu mbele ya safari. Niishie hapo!