Je Jumuiya ya Afrika Mashariki itadumu.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Jumuiya ya Afrika Mashariki itadumu.?

Discussion in 'International Forum' started by sinafungu, May 27, 2010.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MASHARIKI Rais Kikwete amewataka viongozi wa jumuiya hiyo kuepukana na maneno ya yenye kuzua chuki kwa mataifa mengine ili kuulinda umoja huo. Hili ni neno jema sana , lakini sisis sote tunafahamuana vizuri mno, hasa tukikumbuka mwaka 1977, je hili litawezekana ...?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaz ipo
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Tunawaza jumuiya wati muungano wetu una tutoa jasho, bado hakijaeleweka
   
 4. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  bado safari ni ndefu, ila tungefika ingekuwa vizuri.
   
 5. a

  arasululu Senior Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bongoflava hyo! us.....ng...e mtupu
   
 6. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Itadumu tu, tena itadumu sana! wanaopinga wana mawazo finyu, au ndo wanaleta za dini zao kuogopa watamezwa na dini fulani, mawazo ya kizamani kabisa hayo...kwanini hakuna hata mwislam mmoja anayesapoti hii kitu, tufichue tu wajameni kwamba waislam kama wanavyohubiri kwenye radio zao wanaogopa ati watamezwa na wakristo kama itafikia siku moja ikawa federation just because kenya asilimia 90% ni wakristo na uganda asilimia 80%...Rwanda na Burundi ndo kabisaaa hata Idi al fitri wameanza kuadhimisha muda si mrefu, hawakuwa nayo kama taifa.
   
 7. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Usikurupuke bila facts, maneno ya hear-say tuwache vijiweni, hapa unadeal na great thinkers, si watoto wa chekechea unaowaletea cooked statistics, nani ka kwambia waisilamu hawataki hii federation? nani kakwambia kwamba 90% of Kenyans are Christians? Punguza udini, maybe you'll see things clearer.
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Smatta thank you once again kwa majibu yako kwa Mwana wa Mungu, nadhani ifike mahali tuwe tunafikiri beyond nose distance na tusiwe "tunakurupuka" na kujibu thread kwa kuwa tu tuko connected na internet na we have ability to respond! Hoja ya waislam kukataa Jumuiya ya Africa mashariki imetoKa wapi, kama nakumbuka vizuri Daniel Yona aliwahi kufanya mahojiano na TBC1 na alikuwa akipinga waziwazi hii jumuiya, sasa DY ni Muislam? Katibu mkuu wa Jumuiya ya AM- Mwapachu ni Muislam! hii hoja ya waislam kupinga Jumuiya imetoka wapi! Please let us be what people think and believe we are i.e. GREAT THINKERS!
   
 9. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,448
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  Jumuiya itadumu kwa yale ambayo tumekubaliana na kuyatenda kama tulivyokubaliana,non comformities zikiwa nyingi ni vigumu jumuia kudumu,labda wanachama wakorofi wanaweza kusimamishwa uanachama mpaka watakapojirekebisha makosa yao.

  Jumuiya ni muhimu kwa watu wa Afrika mashariki,lakini inataka viongonzi makini wanaoamini kufanikisha jumuiya kwa maslai ya wanajumuiya wote.

  Msingi au muhimili wa Jumuiya ni Tanzania,sababu nyingi za msingi ukubwa wake,inapakana na nchi zote,idadi ya watu wake ni kubwa,ina mali asili nyingi kuliko washirka wengine,maelewano ya jamii ya kitanzania ni nzuri kuliko wanajumuia wengine,kiswahili kama lugha ya mawasiliano kwa watanzania ina ushawishi mkubwa kwa kujieleza na tukaeleweka.

  Jumuiya bila Tanzania sio jumuiya.
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mkuu wewe unayefikiri sana ndo ungetoa data. hapo yeye katoa zake anazozifahamu hivyo na wewe toa zako unazozifahamu ziweke hapo. nilivyokuwa najua mimi, christians in kenya ni asilimia 78% christians, catholics ni 45% na protestants ni 33%, 10% nonbelievers, na 2% etc...nenda CIA fact book hapo utaona hivyohivyo.

  wewe ni mkenya, unang'aka nini, tz inakuhusu nini hata ukamrukia jama ivyo, deal na wakenya wenzio huko. ni ukweli kila mtu anajua, waislam wa tz hawataki muungano kwasababu wanaogopa watamezwa, kwanini tufiche? hili pia wamelisema wazi tu kwetu sisi watz tunajua, wewe huko kenya mtajua wapi.....najua wewe ni mwislam wa kikenya sawa, lakini ukweli baba ndo huo. wenzio hapa tz wanaogopa kumezwa ati wao watakosa sauti. mahubiri haya mimi nimeyasikia kwa masikio yangu toka radio kheri na kwenye mihadhara yao...tembelea temeke, mbagala manzese uone kinachoongelewa kwenye mihadhara hii.

  ukitaka kuamini hili, asilimia 80 ya wapinzani wa federation, ni waislam...wanaogopa rais atakua anatoka wa upande mmoja. hapa tz penyewe shule hawaendi na wanataka tuwe tunaenda pasu kwa pasu...bila kuangalia vigezo vya kimaendeleo na elimu...hapohapo wanataka kumeguka zanzibar, ambako wanaongeza asilimia kubwa sana ya idadi ya waislam tz, hivyo zanzibar ikimeguka toka kwenye muungano, asilimia ya waislam wanaohesabika tz itapungua mno...that is the truth. udini, bora mtu anayeongea ukweli wa dini akakubali kuwa mdini, kuliko waislam wanaoenda chini kwa chini mkija kustuka nchi imekuwa ya kiislam na majambia wameshika mkononi.
   
Loading...