hivi kwa siku za nyuma kuna mtu aliwahi teuliwa na prezida akakataa? if yes alitoa sababau gani?
sorry for asking
hivi kwa siku za nyuma kuna mtu aliwahi teuliwa na prezida akakataa? if yes alitoa sababau gani?
sorry for asking
Mtu yeyote akiteuliwa na rais kushika madaraka bila shaka atayakubali isipokuwa rais mwenyewe hawezi kumteua mtu yeyote asiyekuwa mwanachama wa CCM kushika madaraka ya uongozi ngazi ya juu ya uongozi wa serikali kutokana na mfumo wa Kijamaa tulokuwa nao..
Toka enzi ya Mwalimu kiongozi yeyote alilazimika kujiunga na chama kwanza ili kupewa wadhifa wa juu serikalini au mashika ya Umma..Hivyo ni swala la kuuliza - Je, rais anaweza kumteua mtu kushika wadhifa serikalini au shirika la Umma hali mtu huyo ni Mpinzani wa siasa za chama CCM?
CAUTION: USIPOKEE KAZI WITH TOO MUCH EXPECTATIONS BECAUSE ALOT IS EXPECTED FROM YOU AND NOT OTHERWISE
JK hawezi kunipa Uwaziri kwa sababu mimi simo kwenye Mtandao wala si Fisadi! Tuwaze Uhalisia. Sema 'Kama ningekuwa Waziri wa Tanzania ningefanya nini cha kuisaidia nchi yangu'! At least hili linawezekana. Ten years from now JK hatakuwa madarakani na wewe unaweza bado ukapata bahati ya kuteuliwa kuwa Waziri! my two cent...
Nikipewa post ambayo nna uhakika inaendana na elimu yangu, kiwango changu cha uelewa, uwezo wangu wa kuongoza, uwezo wangu wa kuhimili majukumu NITAIPOKEA ili kuweza kusaidia taifa.
nikifika kati kati nikitakiwa kuchukua maamuzi yasiyo mema kwa taifa nitaacha kazi
Mkuu sijakuelewa hapa maanake najua ktk serikali ya Marekani wapo viongozi walioshika mamlaka wakati wa Bush na wanaendelea kushika mamlaka hayo wakati huu wa Obama..Hapa kwetu wapo viongozi wengi wa mashirika ya Umma na vyombo vya utendaji ambao elimu na ujuzi wao wa kazi (uongozi) hauhusiani kabisa na Uanachama au itikadi ya chama.Mkuu wakati tulinao ni wa vyama vingi , na chama kinachoshinda uchaguzi mkuu ndio kinachouunda serikali kwa kuwa hakuna serikali mseto, hivyo kusema lazima awe ccm ndio JK atatmteua ni kweli kwa mantiki hiyo niliyoelezea hapo juu na vinginevyo kama ulivyoelza awali.
if i will be a supervisor..
1.Nitakuwa mkali kwa wezi wote na sitawaonea haya hata kama ni wakongwe wa chama
2.Nitahakikisah mabadiliko makubwa ya sheria yanafanyika ili yaendana na kasi ya kuleta mabadiliko
3.Watu wote ambao hawana uwezo wa kuleta mabadiliko nitawang'oa,itakuwa siyo serikali ya kulipana fadhila..