Sawa mkuuTumia chrome kma alivosema mdau hapo juu☝️
Unaingia bila VPNBado Jamiiforums haifunguki bila VPN tusidanganyane
Nimeingia kwenye Chrome
Basi kama kwako haijafunguka badoBado hawajafungua na hawawezi kufungua kipindi hiking chenye vuguvugu LA maandamano Tena mpaka hiyo tarehe Yao ipite..
Itakuwa imepigwa pini tena. Ilifunguka ila sasa ina goma.Basi kama kwako haijafunguka bado
Tafuta simu mkuu hiyo siyo simu.
Nipo na Huawei Pura 80 series huko Tanzania nimeacha Samsung 25 Utra atatumia bwana mdogo kamaliza shule hapa Johannesburg simu na magari so ishu ukiamua unapeleka ya zamani wanakupa toleo jipya na maisha yanaendelea...Basi kama kwako haijafunguka bado
Tafuta simu mkuu hiyo siyo simu.
Duh kidukulilo aliyechangamkaNipo na Huawei Pura 80 series huko Tanzania nimeacha Samsung 25 Utra atatumia bwana mdogo kamaliza shule hapa Johannesburg simu na magari so ishu ukiamua unapeleka ya zamani wanakupa toleo jipya na maisha yanaendelea...
Huko Johannesburg JF ilifungiwa?Nipo na Huawei Pura 80 series huko Tanzania nimeacha Samsung 25 Utra atatumia bwana mdogo kamaliza shule hapa Johannesburg simu na magari so ishu ukiamua unapeleka ya zamani wanakupa toleo jipya na maisha yanaendelea...
Muda mrefu nilikua Tanzania mkuu huku hawawezi kufungia mitandao..Huko Johannesburg JF ilifungiwa?
Nina mwaka wa 27 Nje unataka tuzungumzie simu aisee badala ya kuhoji kuhusu Scania G460..au Scania XT..mambo ya magari ya kutembelea hilo tuta lako nishavuka Kaka sio kwamba najisifu nimepambana hata wewe ukitaka pin number nakuelekeza hapa hapa...Duh kidukulilo aliyechangamka