Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
Nenda ukatubu mapemaKuna namna najiona saana mkosaji ndani ya nafsi yangu kwa maana namna moja au nyingine nimeshiriki uchaguzi huuðŸ˜ðŸ˜
Nenda ukatubu mapemaKuna namna najiona saana mkosaji ndani ya nafsi yangu kwa maana namna moja au nyingine nimeshiriki uchaguzi huuðŸ˜ðŸ˜
Siku hazigandi
🚮🚮🚮Kujifunza kuhusu nini?
Wamefungua?Hatimaye serikali imebana ineachia jf yetu ni mwendo wa kuteleza tu kuelekea D9
Si kwelimbona isharudishwaga hewani muda tu au
Ndio toka saa nne kamili asubuhiWamefungua?
Bona mi nashindwa kuingia?Ndio toka saa nne kamili asubuhi
Mkuu unatumia app ya jf au browser?Mbona Bado?
Natumia chrome naingia bila vpn wala nini.Bona mi nashindwa kuingia?
Mkuu leo bila vpn ni mwendo mdundo tuSi kweli
Mimi natumia app.Natumia chrome naingia bila vpn wala nini.
Aaaah okay sikujaribu hicho kituMkuu leo bila vpn ni mwendo mdundo tu
Jaribu kwa chromeAaaah okay sikujaribu hicho kitu
Nipo na Opera yenye browserMkuu unatumia app ya jf au browser?
Iko poa now bila VPN