Je, Jakaya Kikwete alitoa pesa wapi kuongeza mishahara na kujenga barabara za lami?

Wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa kulikuwa na mitandao ya kijamii wewe Kilaza?
Kwa msiotunza kumbukumbu

Jakaya kikwete Ndiooo rais akiyeongoza Kwanzaa kutukanwa mtandaon na hadharani lakini hata msafara wake kushambuliwa na wananchi

Alitukanwa na kubezwa Nje na Ndani y'all bunge

Sababu za kutukanwa msijisahurishe

Acha Magufuli aitwe Magufuli
 
Members, Kuna maswali yanafikirisha sana

Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara?

Alilipa mishahara na kuwaongezea nyongeza watumishi halali na wale waliokuja kuitwa fake kila mwaka

Je, Pesa za ujenzi wa madaraja na barabara nchi nzima za kuunganisha mikoa alikuwa anazitoa wapi?

Alijenga barabara na kuacha mawaziri na Makamu wazindue baadhi ya barabara

Utakumbuka Makamu wa Rais Gharib Bilala alikuwa anazindua miradi ya barabara wakati wa Kikwete mpaka watu wakampa jina mkata utepe, Kwa miaka mitano Gharib Bilal ilikuwa uzinduzi na yeye

Je, zile pesa ambazo watu walikuwa wanakula na kuiba kwanini kikwete na Serikali yake hawakufilisika na kujitetea pesa za Kuongeza mishahara hakuna kwani Mafisadi wameiba, Watu waliongezwa mishahara kila mwaka?

Je, zile ajira za kuajiri walimu wote wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka pesa alikuwa anazitoa wapi?

Je, mbona hatukusikia wafanyabiashara wakifunga biashara zao na kubambikiwa kesi za kodi au Kudaiwa kodi za enzi ya mtangulizi wake Mkapa?

Je, Wafanyakazi walifanya semina, warsha na Safari za nje ya nchi. Pesa alizitoa wapi?

Pension watu walilipwa kwa wakati huku mifuko ya jamii ikishindana kutoa huduma kwa jamii, Kikwete hizi pesa alikuwa anatoa wapi?

Je, Mamilioni ya pesa aliyokuwa anawalipa wale wataalamu aliowatoa nje ya Tanzania na viongozi wa mashirika ambao walikuja kupunguziwa baadae alizipata wapi?

Je, Kwanini wakati anayafanya haya Magazeti yalikuwa yanasema na kumnanga kila siku lakini Jakaya Kikwete hakujitetea kuwa Magazeti yanamzuia asiwe na pesa za kulipa mishahara, kujenga barabara na kuruhusu warsha na Mikutano

Je, Pesa za kuadhimisha sherehe za Uhuru na Muungano kila mwaka alizitoa wapi. Kila mwaka watoto waliandaliwa kwa gwaride. Jakaya Kikwete hakuwahi kuhairisha sherehe za Muungano

Jakaya Kikwete alisafiri Dunia nzima kwa kundi la wapambe kila wakati a gani, Huku nyumbani nani aliyekuwa anaongoza nchi kwa kulipa mishahara vizuri, Kusimamia malipo ya pension za wastaafu, Kuvutia wawekezaji wengi,

Mpaka sasa mbinu alizotumia huyu mtu kufurahisha watu ninazisubiri kwenye kitabu chake
Pamoja na udhaifu kidogo wa JK lakini alikuwa anashaurika. Alizungukwa na watu wenye upeo na alikubali kushauriwa.

Hakupenda MASIFA ya KIJINGA na alikubali kukosolewa ndiyo maana magazeti na TV vilifanya kazi kwa uhuru na faida.

Aliamini katika demokrasia na kwamba afanye anayoyaweza kwa kipindi chake na asiyoyaweza wengine watakuja kuyatekeleza.

Alimuamini Mungu na kumuogopa kwa vitendo na siyo kwa maneno.

Alikuwa na mahusiano mazuri na jumuiya ya kimataifa
 
Members, Kuna maswali yanafikirisha sana

Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara?

Alilipa mishahara na kuwaongezea nyongeza watumishi halali na wale waliokuja kuitwa fake kila mwaka

Je, Pesa za ujenzi wa madaraja na barabara nchi nzima za kuunganisha mikoa alikuwa anazitoa wapi?

Alijenga barabara na kuacha mawaziri na Makamu wazindue baadhi ya barabara

Utakumbuka Makamu wa Rais Gharib Bilala alikuwa anazindua miradi ya barabara wakati wa Kikwete mpaka watu wakampa jina mkata utepe, Kwa miaka mitano Gharib Bilal ilikuwa uzinduzi na yeye

Je, zile pesa ambazo watu walikuwa wanakula na kuiba kwanini kikwete na Serikali yake hawakufilisika na kujitetea pesa za Kuongeza mishahara hakuna kwani Mafisadi wameiba, Watu waliongezwa mishahara kila mwaka?

Je, zile ajira za kuajiri walimu wote wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka pesa alikuwa anazitoa wapi?

Je, mbona hatukusikia wafanyabiashara wakifunga biashara zao na kubambikiwa kesi za kodi au Kudaiwa kodi za enzi ya mtangulizi wake Mkapa?

Je, Wafanyakazi walifanya semina, warsha na Safari za nje ya nchi. Pesa alizitoa wapi?

Pension watu walilipwa kwa wakati huku mifuko ya jamii ikishindana kutoa huduma kwa jamii, Kikwete hizi pesa alikuwa anatoa wapi?

Je, Mamilioni ya pesa aliyokuwa anawalipa wale wataalamu aliowatoa nje ya Tanzania na viongozi wa mashirika ambao walikuja kupunguziwa baadae alizipata wapi?

Je, Kwanini wakati anayafanya haya Magazeti yalikuwa yanasema na kumnanga kila siku lakini Jakaya Kikwete hakujitetea kuwa Magazeti yanamzuia asiwe na pesa za kulipa mishahara, kujenga barabara na kuruhusu warsha na Mikutano

Je, Pesa za kuadhimisha sherehe za Uhuru na Muungano kila mwaka alizitoa wapi. Kila mwaka watoto waliandaliwa kwa gwaride. Jakaya Kikwete hakuwahi kuhairisha sherehe za Muungano

Jakaya Kikwete alisafiri Dunia nzima kwa kundi la wapambe kila wakati a gani, Huku nyumbani nani aliyekuwa anaongoza nchi kwa kulipa mishahara vizuri, Kusimamia malipo ya pension za wastaafu, Kuvutia wawekezaji wengi,

Mpaka sasa mbinu alizotumia huyu mtu kufurahisha watu ninazisubiri kwenye kitabu chake
Jk ni zaidi ya mwinyi
 
Nyie ndio wale mliokua mnasema raisi gani dhaifu? Au maneno Yale yalikua nasemwa na baba zenu nyie mlikua bado hamjazaliwa
 
Kuwa chawa inahitaji roho ya chuma
Hahahaha mamaeeee msumari wamoto huu
 
Mimi kwa kweli nisamehewe tu lakini sijaona haswa kubwa mno alilolifanya magufuli kiasi Cha kusifiwa kiasi kile kwamba kizazi na kizazi kitamkumbuka!

Lile daraja la ubungo na baadhi ya barabara na hizo ndege ambapo hayo yote yangeweza kufanywa na mtu yoyote yule.
Mbaya zaidi, hata hayo madaraja ya juu kwa juu, pesa zilitafutwa na Mzee wa Msoga. Kama TZ tungekuwa na utaratibu wa miaka 7 kwa awamu moja, hayo madaraja yangejengwa awamu ya JK. Na kama JK asingejipendekeza kwa World Bank na JICA, hayo madaraja leo yasingekuwepo. Juzi nimesoma ripoti moja ya Dar Roads Masterplan Projects, nikashangaa kukuta kumbe hata Daraja la Salender, "architect" ni Mzee wa Msoga! NIkachoka!
 
Alizikuta Mkapa alishazikusanya zilikuwa zinachoteka lakini kuisha haziishi
Pesa ya Mkapa ilikuwa inaishia kulipa madeni! Au umesahau alivyokuwa anaitwa Mzee wa Ukapa, anayetaka kufurahisha Wazungu?! Na kweli, deni la taifa wakati wa Mkapa lilikuwa dogo sana, ingawaje siwezi kumlaumu kwa sababu alipewa masharti ya kulipa kiasi fulani cha madeni ili hatimae tusamehewe kiwango kikubwa!
 
Mimi kwa kweli nisamehewe tu lakini sijaona haswa kubwa mno alilolifanya magufuli kiasi Cha kusifiwa kiasi kile kwamba kizazi na kizazi kitamkumbuka!

Lile daraja la ubungo na baadhi ya barabara na hizo ndege ambapo hayo yote yangeweza kufanywa na mtu yoyote yule.

Kule kusema kwamba wakina kikwete hakuna Cha maana walicho fanya Hali sisi tulikuwepo na akili 2005 ile mpaka 2015 hatuwezi kuwaelewa.

Magufuli Ni mtu aliewahi kuwa rais wa Tanzania tu na vingi alivyofanya havilinganishwi na waliomtanguli, kule kusema Ni shujaa wa Africa wakati hakufanya Cha kutoshea hata hapa Tanzania Ni kumsifu mtu kinafki kwa kweli.

Namtakia heri kikwete kwa kweli umma huu hauta msahau kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi magufuli ni Rais ambayo yupo very very overated tu.

Magufuli ni sawa na wanamuziki wa wcb tu,hata kama nyimbo mbovu kwasasa ya promotion ya kufa mtu mwisho nyimbo inaonekana kali na watu wanaipenda.

Kikwetu hakuwa mtu wa promo,hakulazimisha watu wamsifie,ndio maana kesi ya kufunga vituo vya redio na magazeti zilikuwa ni chache sana, mambo yakutekana pia hayakuwepo lakini huu utawala wa magufuli hakukuwa tofauti na Sudani kusini,watu tuliishi kwa hofu sana kuanzia makazini kwetu( hujui lini utafukuza kazi au kuongezwa mishahara) mpaka mitandaoni.

Kwa kifupi huyu mwamba alistaili kufa, kwasababu miaka michache iliyobaki angetuletea madhara makubwa sana kwa nchi yetu,kwanza yeye na wahuni wenzio walijiandaa kuongeza muda wa kukaa madarakani, ukienda bungeni spika amekuwa kama changudoa fulani vile, hajui kazi zake hata kidogo kutwa kujipendekeza kwa Raisi,biashara ameharibu, kazi ameharibu.. sijui hawa watu wanaomsifia magufuli wanatumia vigenzo gani???

Kwanza uongozi wa maendeleo ya vitu kama madarajana,mandege ,na barabara uchwara sidhani kama kuna kiongozi wowote angeshindwa kufanya, hata GIGY MONEY angekuwa Rais angeweza fanya vitu vyote hivyo. HELA zote alikuwa anakopa,sasa kiongizi gani hapa duniani hawezi jenga vitu kama hivyo kwa kukopa?? Kiongizi smart kama kikwete,amefanya vitu vyote na deni la taifa lilikuwa halipandi kama huyu pimbi anayesifiwa na watu.

Hata mimi leo likikopwa matrillions of money na deni silipi mimi,naweza tengeneza magorofa kutoka Dar mpaka Rufiji kwetu,kwahyo hakuna maana kumsifia baba anayefanya maendeleo na hela za mikopo tena wala hajali zitalipwa vipi.
 
unatoa majibu kuwa alikuwa anazunguka dunia nzima alafu unauliza pesa alitoa wapi...alikuwa anaomba huko, kwani hukuwahi kumsikia akisema "wenzetu hawa mapesa wanayo,wewe kazi yako ni kuomba tu wanakupa"
Sasa mbona "miradi ya Magu", ukitoa ndege na yenyewe ni pesa za mabeberu?!
 
kuna uwezekano hiyo udom unayosema iliyojengwa kwa mikopo kutoka NSSF na kwingine,imeongeza deni ambalo analaumiwa ngosha kuwa alikuwa na madeni mengi
Watu wanapozungumzia deni unaangalia Ngosha kakopa kiasi gani kwa kipindi cha miaka 5 peke yake, na alikuta kiwango gani!! Usisahau Ngosha kakopa hadi mabenki ya nje, kama vile Credit Suisse na Standard Chartered.
 
Kuwa chawa inahitaji roho ya chuma
ameshindwa hata kusubiri tumalize maombolezo kwanza!
 
Mbaya zaidi, hata hayo madaraja ya juu kwa juu, pesa zilitafutwa na Mzee wa Msoga. Kama TZ tungekuwa na utaratibu wa miaka 7 kwa awamu moja, hayo madaraja yangejengwa awamu ya JK. Na kama JK asingejipendekeza kwa World Bank na JICA, hayo madaraja leo yasingekuwepo. Juzi nimesoma ripoti moja ya Dar Roads Masterplan Projects, nikashangaa kukuta kumbe hata Daraja la Salender, "architect" ni Mzee wa Msoga! NIkachoka!
Mara nyingi mtu anapokabidhiwa ofisi huwa Kuna mwongozo ana utaratibu wa kazi zilizopo na zijazo, kwa hio mtu hutembea kwenye ile miongozi na mwisho ofisi ndio hupata sifa kazi zile zikikamilika.

Sasa mtu anajiinua kiasi Cha kwamba ile ofisi ndio ameifungua yeye, kule kusema walionitangulia hawakufanya kitu Hali upo kwenye ofisi na kiti umekikuta huo sio uungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na deni la taifa wala halikua kubwa kama wakati huu.
Mwendazake ashaondoka jamani tumpumzishe. Kila siku kumwanzishia nyuzi humu haina maana,kama nchi yenu ashawaachia pambaneni kuigeuza ya maziwa na asali mfurahishe mioyo yenu. Umewahi kujiuliza project moja tu ya JPM ya tr 13 sgr ingezalisha viproject vingapi vya JK hivi vya bilioni mia mia ? Na impact ya hiyo project moja tu ingekamilika unajua ingekuwa na impact gani kwenye uchumi wa nchi ? Alifanya aliyoweza, ameondoka pambaneni sasa kufanya yaliyo bora kwenu na sio kila siku mnakuja mitandaoni kupambana na Mwendazake.
 
Kwa kifupi magufuli ni Rais ambayo yupo very very overated tu.

Magufuli ni sawa na wanamuziki wa wcb tu,hata kama nyimbo mbovu kwasasa ya promotion ya kufa mtu mwisho nyimbo inaonekana kali na watu wanaipenda.

Kikwetu hakuwa mtu wa promo,hakulazimisha watu wamsifie,ndio maana kesi ya kufunga vituo vya redio na magazeti zilikuwa ni chache sana, mambo yakutekana pia hayakuwepo lakini huu utawala wa magufuli hakukuwa tofauti na Sudani kusini,watu tuliishi kwa hofu sana kuanzia makazini kwetu( hujui lini utafukuza kazi au kuongezwa mishahara) mpaka mitandaoni.

Kwa kifupi huyu mwamba alistaili kufa, kwasababu miaka michache iliyobaki angetuletea madhara makubwa sana kwa nchi yetu,kwanza yeye na wahuni wenzio walijiandaa kuongeza muda wa kukaa madarakani, ukienda bungeni spika amekuwa kama changudoa fulani vile, hajui kazi zake hata kidogo kutwa kujipendekeza kwa Raisi,biashara ameharibu, kazi ameharibu.. sijui hawa watu wanaomsifia magufuli wanatumia vigenzo gani???

Kwanza uongozi wa maendeleo ya vitu kama madarajana,mandege ,na barabara uchwara sidhani kama kuna kiongozi wowote angeshindwa kufanya, hata GIGY MONEY angekuwa Rais angeweza fanya vitu vyote hivyo. HELA zote alikuwa anakopa,sasa kiongizi gani hapa duniani hawezi jenga vitu kama hivyo kwa kukopa?? Kiongizi smart kama kikwete,amefanya vitu vyote na deni la taifa lilikuwa halipandi kama huyu pimbi anayesifiwa na watu.

Hata mimi leo likikopwa matrillions of money na deni silipi mimi,naweza tengeneza magorofa kutoka Dar mpaka Rufiji kwetu,kwahyo hakuna maana kumsifia baba anayefanya maendeleo na hela za mikopo tena wala hajali zitalipwa vipi.
Tukianza kuyahesabu makosa tunaweza kukuta hata huyo kikwete Ni mkosa kwa vile alimfaham yule magufuli kabla lakini akawezesha kupewa madaraka makubwa kiasi hicho.

Mtu ambaye alikua hapendi ushauri, Hali kazi za urais bila ya ushauri Ni bure.

Ila hakika Kama angeendeoea miaka hio mitano tungekuwa pabaya mnoo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bila kusahau jero tulikuwa tunaongea siku nzima vodaa
Jero tulikua tunapata Mb 500 au Units 500 (Sawa na dakika 500 au Mb kwa masaa 24).

Huu uchumi wa kati kwa jero dak 15 na Mb 125

Kikwete was the best president ever! Nakumbuka nilianza fanikiwa nikiwa bando kijana mdogo kipindi Kikwete anaanza utawala so nme experience maisha katika awamu zake zote 2, Ila katika utawala huu wa Chatoboy maisha yalivurugika, biashara zilikufa..
 
Hao waajiriwa kasema ilikuwa ni zaidi ya 100,000/= kwa mwaka. Sio kwa kipindi chake chote kizima. Umemuelewa vibaya.

Hapo walijumuishwa wahitimu wa Ualimu na Afya moja kwa moja kwa ngazi ya Astashahada, Stashahada na Shahada.

Sasa ebu piga hesabu kwa miaka kumi, aliajiri jumla watu wangapi?
Kwani Mataga wanaelewaga sasa? Si watu wa kusoma Heading tu na kuanza ku comment!

Kuna mwingine kasema eti sijui Meko aliajiri watumishi elfu 74 kipindi chake chote sijui waliajiriwa wapi hao, Istoshe hao 74k miaka yote 5 utalinganisha na utawala wa Kikwete...?
 
Kuwa chawa inahitaji roho ya chuma
Aseeee.
 
Back
Top Bottom