Je,Is it unfair to miss your Ex?

Bukheri wa Afya!! sasa lini tunaenda Loliondo?
Hommie nimesikia kwanza wanataka kujenga hoteli, uwanja wa ndege, fly overs na kadhalika maana population ya watu imeongezeka, itabidi twende as soon as possible nitakupitia usalule na 500 zetu mfukoni tukamuone babu
 
Kumiss ni hisia na huwezi kuamua!! so inatokea tu wala hulazimishi!!
unjua siku hizi tumefanya kama salamu ndo maana inaonekana kama tunaamua vile....
Mimi nukiwambia nimeku miss Husninyo ili kuweka mambo sawa utajibu "miss you too" wakati kiukweli sikuawepo mawazoni kwako!!

hata mimi nilikuwa najua hivyo.
Sasa mtoa mada sijui huwa anakaa chini anaamua ammiss x wake.
Dah!
Ila mimi miss kimey.
Nasubiria jibu la i miss you too.
 
Ukiendelea na hisia hizo hakuna hata siku utakuwa committed kwa yeyote, maana kila mmoja atakuwa Ex wako !!
 
Aisee wewe unataka majeshi kutoka nchi za nje yaje hapa nani EX hebu omba radhi kwanza kabla mwenyewe hajaja hapa

Re: Je,Is it unfair to miss your Ex?

Hilo ndo swali sasa how come wewe unamimiss AD?? Is she your EX???
 
Cha kale ni dhahabu, especialy kama alikuwa anakupa vitu hadimu na wa sasa hakupi lazima tu utammiss, au pale mipoachana bila kutegemea kummiss ni lazima.......... Hata kama hamta sex bado kuna vitu utavimiss kwake na ungetamani maajabu yatokee uendelee kuwa nae ....... Kama nilivyosema katika post yangu ya nyuma wangu wa zamani bado namiss sana na tunatafutana sana kwa mambo mengi bat siyo sex.
 
Re: Je,Is it unfair to miss your Ex?

Hilo ndo swali sasa how come wewe unamimiss AD?? Is she your EX???
Kheee Kheee Kheee hilo swali niliisha jibu, halafu second hilo swali halituhusu mimi na AD because she's not my EX but my W.I.F.E
 
Kheee Kheee Kheee hilo swali niliisha jibu, halafu second hilo swali halituhusu mimi na AD because she's not my EX but my W.I.F.E

Wewe hujajibu swali langu???

Acha kupotezea. Wife uwiiii haya mie ngoja nikae kimya.

Busa wala manguree hujaleta ushaanza kuita wife??!!
 
una mis kama binadamu mwingine pia kama ambavyo huwezi kuisahau historia na yeye atabaki kuwa sehemu ya historia yako. ila morally is not good bse ukikumbuka nyuma utashindwa kumuintertain uliye naye
 
Wewe hujajibu swali langu???

Acha kupotezea. Wife uwiiii haya mie ngoja nikae kimya.

Busa wala manguree hujaleta ushaanza kuita wife??!!
Halafu nimegundua wewe ndio unaweza ukafanya hata nikapandishiwa mahari kwenye kulipa
 
Utakapofikia hatua ya kummiss X wako ina maana huridhiki tena na mke /mme wako ..
na ni hatua mbaya katika mahusiano yako.
Vip Ben unajisikia kummiss X?:wink2:

Duh,Firstlady1 kwa kugeuzia watu vibao...loh

Mimi sina Ex...ila nauliza ikitokea mambo yakawa siyo kwangu na Mwanajamii1,coz naona Michelle kazua utata...lol
 
Mi sioni kama ni tatizo, hata kama mnakutana kwa mema its ok, kama una mpenz mwingne na huyo ex wako mnakutana/kumisiana bila sex haina shda

Kwa hiyo Dr unataka kuniambia kuwa tatizo ni 'Sex' tu! Kama bado wana hisia za kimapenzi, wanawasiliana mara kwa mara, labda wanaspend time pamoja lakini hakuna sex..then its okey?!
 
Ni kawaida kum-miss your ex kwa sababu kuna vitu ambavyo psychologically mlishavijenga au mlitengeneza kitu kinachoitwa psychological dependency. kwa hiyo lazima utammiss kama mliachana kwa amani. kwa wale waliogombana mara nyingi inakuwa tofauti kidogo.
 
Kwa hiyo Dr unataka kuniambia kuwa tatizo ni 'Sex' tu! Kama bado wana hisia za kimapenzi, wanawasiliana mara kwa mara, labda wanaspend time pamoja lakini hakuna sex..then its okey?!

tatizo ni pale mnapoweka mawazo ya sex, kama mawazo hoyo hayapo its ok, mi nakunywa, akiwa vizur ananiita tuanaenda kupiga ulabu vizuri siku na mimi nikijiskia kuwa nae namcall tunaenda pata moja barid moja moto hakuna madhara yoyote
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom