Je,Is it unfair to miss your Ex?

Kuna wakati nawamiss hata nilio "hit and run", a one night stand, ila nafanya yote haya kimya kimya bila mwenzi wangu kujua.
 
Rule numero uno,

Always chukua kitu kikali zaidi, hata ex wako usimkumbuke. Anything less is a mess, hata yeye akikuona atacheka.

If u miss ur ex that means you don't have a life, ur not satisfied with the one you are with.
 
Unaweza ukakumbuka mazuri mliyoyafanya pamoja hivyo ikapelekea wewe kumiss hata kama tayari upo au yeye yupo kwenye mahusiano mengine.
 
Anything less is a mess, hata yeye akikuona atacheka.
Hehehe!Raha kweli kumuona ex wako na mtu ambae hajakupiku...yani hata kama bado uko mwenyewe you can still walk around with pride!Ukweli ni kwamba kummiss Ex kama uko na mtu mwingine unakua hujaridhika!Ila ukiwa na mtu ambae ni bora zaidi kwa kila kitu huwezi kummiss Ex..hata kumkumbuka labda kwa kulaumu tu kilichomleta yeye na kumchelewesha mpenzi wako wa ukweli!Kwahiyo it's not fair...
 
ukiona unammiss EX wako, jua bado unampenda na ulienae kwa wakati huo hujaridhika nae
 
Utakapofikia hatua ya kummiss X wako ina maana huridhiki tena na mke /mme wako ..
na ni hatua mbaya katika mahusiano yako.
Vip Ben unajisikia kummiss X?:wink2:
 
Wakuu,hivi ni vibaya kum-miss Ex wako?Utakuwa humtendei haki mke/mume au Boyfriend/girlfriend wako wa sasa?:wink2::wink2:

...si mbaya iwapo hutatamka wala kuonyesha kwa ishara/matendo.
Kujidhihirisha wazi hisia zako ni utovu wa nidhamu kwa mwenza wako.
"jiepushe na matendo ambayo hutapenda utendewe!"- Mkuki kwa nguruwe!
 
Imo hiyo ya kummiss your EX bana kwa mazuri aliyokutendea lakin usimuonyeshe huyo wa sasa.

Kuna wengine wanamiss vibaya sana utasikia ni afadhali hata fulani hiyo mbaya sana.
 
Hivi kummiss mtu huwa tunaamua au inatokea tu?
Kumiss ni hisia na huwezi kuamua!! so inatokea tu wala hulazimishi!!
unjua siku hizi tumefanya kama salamu ndo maana inaonekana kama tunaamua vile....
Mimi nukiwambia nimeku miss Husninyo ili kuweka mambo sawa utajibu "miss you too" wakati kiukweli sikuawepo mawazoni kwako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom