Sichaguwi ,imani yangu kuwa kila mmoja ana laza yake .inabidi iwe una onja onja huku na kule ili kupata pale unapoona ni heri yako,hata ukienda madukani unachagua na kama haitoshi siku hizi maduka mingi wana sehemu chemba ya kujipima ,tatizo wanawake nasikia wanajipima mpaka underwear na saa ingine ndio haivui ,anaingia na tatu anatoka na mbili ,sijui wanakuwaje ?