Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Wadau naomba msaada wa kitaalam katika hili,
Mpenzi wangu bado ni bikira na ana umri wa miaka 23 amemaliza chuo anasubiri tu ajira sasa tumekubaliana kuanza kufanya mapenzi lakini kwa sababu bado hatujafunga ndoa hivyo hatupo tayari kuwa na mtoto katika wakati huu kabla ya ndoa.
Swali langu je hawezi kupata mimba siku ya kumtoa bikira? Na kama inawezekana kupata mimba siku hiyo ni njia gani tufuate ili kuepuka yeye kupata mimba.
Msaada wenu wa kitaalam tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app