Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

ntakuaje na price kwa kitu ambacho si chakuuzwa?
thamani yake anaeijua ni mimi, na thamani yake haina bei kabisa..
Kama unaamini kila kitu kina thamani basi thamani hiyo ni "pesa" we subiri usipoipa bei ID yako ita expire ikose wateja!
 
acha nikaongee na meneja wangu anaiambie hii yangu tunaweza kuuza kwa bei gani
Kweli wewe ndiye mhasibu, mkurugenzi, mtalaamu! mie yangu niliipeleka kwa mtathimini MoDs, wakesema kigezo mojawapo haijawahi pigwa li BAN, na ina ng'w..................!!!!!!!!!!!!
 
kama ni kweli una matatizo makubwa sana.....you better run run
 
Hongera, wewe ni wapili! unatoa bure kwa wote au selected members?

ulichokitengeneza at zero cost kumuuzia mwenzio dhambi mwali. Natoa bure kwa wote watakaotaka. Vp unataka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…