JE Huyu Mzee ni Kweli Atafika kwenye Safari yake?

MziziMkavu Ungemshauri aanze safari yake mida ya usiku! Asubuhi hii kuna traffic wa torch wengi sana njia hiyo!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mzizi mkavu umenifanya nicheke sana mpaka mbavu zimeuma baada ya kutafakari akili za huyu babu kwenye huu mchezo wa kuteleza kwenye barafu huko ulaya ila yeye anatumia nyenzo za makuti na makoro koro mengine ambayo haya wakati wa medieval time hayakutumika na mababu kutelezea kwenye barafu.
 

Attachments

  • AHAHAA.jpg
    81.2 KB · Views: 1,637
Imenipa mawazo mengi sana, laaah sijui ila kwangu nimewaza tofauti kabisa nimeingiwa na huruma sana
 
Pole pole ndiyo mwendo.

Haraka haraka haina baraka.

Haba na haba hujaza kibaba.

KiafrikaAfrika tu, atafika maana hata misemo yetu, imejaa ubabu babu.
 
kuna tofauti kati ya mtu anayejaribu na mtu ambaye hajaribu kabisa. Mzee kajaribu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…