Je, huyu mwanaume ana malengo?

Achana naye usimfukuze ila kaa nayr chini mwambie .
James baba yangu tumeishi kwa muda mrefu nakwa sasa nimeona tuishie hapa nakutakia maisha mema.
Nenda kanisani au msikitini funga kwakuomba muombe Mungu akupatie mume sahihii ama nenda ja shekhe kaangalie nyota yako ni yakuolewa na mwanaume gani??
Basi huyo kaoa na anamke na watoto wakutosha .
Ndio maana anajificha naanakuomba jela anapeleka kwa mke wake hiyo nyumba sio ya kwao ya kwake na waliomo humo ndio familia yake.
 
Hii kali ya mwaka...sasa yule enginer vipi tena...sii mlikuwa mnaenda kufunga ndoa zenji
Aha huyo ndoa itafungwa tu ila kama nikiwa humo naweka tu mguu mkoja nakufanya mawasiliano hayo ili ikivunjika wewe nitakuwa nilishampata nakama nimedumu naye inshallah
 
Ana miaka 37 huyo mwanaume na mwanamke ana 32yrs
Mume wa mtu huyo bila kupepesa macho. Huko kuaga kwao eti anaenda shift ya usiku kisha kuja kwa kujificha ficha ndo mjue anaaga kwa mkewe. A 37yrs old man hawezi ficha mahusiano yake kisa tu hana kipato kikubwa, tena ukizingatia ni mjasiriamali. Mnachezwa nyie!
 
I second you.
 

Kwa hayaa maelezo huyo kaka anaweza kuwa ni mume wa mtui[emoji23][emoji23][emoji23] mna kama huyo unaesema ni rafiki yako hajui jamaa anishi wapi,, hawajui ndugu zake na huyo kaka anaenda sana kwa demu basi prob kubwa hiyo ni mume wa mtuu achunguzee
 
Jamaa inawezekana kuwa anampenda kweli ila hana ramani kwa sasa. Hujazungumzia jamaa ni graduate au ana mishe gani? Other than that muuni anainjoy economies of scale.
Sasa ni bora amuambie ukweli mwanamke aamue mapema anabaki ama anasepa. Ila mimi nahisi ni muhuni tu huyo jamaa yake.
 
Kwa hayaa maelezo huyo kaka anaweza kuwa ni mume wa mtui[emoji23][emoji23][emoji23] mna kama huyo unaesema ni rafiki yako hajui jamaa anishi wapi,, hawajui ndugu zake na huyo kaka anaenda sana kwa demu basi prob kubwa hiyo ni mume wa mtuu achunguzee
Mimi naona shosti anapoteza tu muda hapo asije shtuka akiwa kachelewa kama mwenzake hapa. Afanye maamuzi mapema.
 
Khaaa [emoji2][emoji2][emoji2] wewe huyo. Nitakusemelea
 
Vipi umepigwa za uso tena🤣🤣🤣🤣 sii uachane tuu na mambo ya mapenzi ufocus kwenye memes tuu🤣🤣🤣
Sijapigwa za uso ila huyo mtu hana uhandsome wowote ule 😃
 
Sijapigwa za uso ila huyo mtu hana uhandsome wowote ule 😃
🤣🤣🤣🤣 Umeamua this time uchumue anaye pumua tuu. Sasa sii bora ungenikubalia mie ambae ni short but handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…