Je, huyu mwanamke ameniroga?

Ni tatizo lako la kisaikolojia, huyo mnyiramba ndo wa kwanza wewe kumgonga!
Alafu kiasi fulani lazima wewe ni mzee wa nyetto au ulikuwa mzee wa nyetto kwa sana!
Sasa siku ukifanikiwa kusimamisha nguzo, watajuta! Ishu ni wewe na saikolojia yako wala haujarogwa!

Sikuwa wa nyetu mkuu

Ila huyu mnyiramba ndio wa kwanza kweli kumgonga
 
Yah mimi nimwanasaikolojia ya ndoa na mahusiano ya mapenzi! Chakufanya nunua packet mbili za zanzi changanya na coca utanipa jibu next week
Sawa mwanasaikolojia, naona unacheza kama pele hapa na mambo ya placebo effect!
Hapo lazima apone, ajaribu hiyo kitu ulomwambia! Majibu LAZIMA yawe sawa!
 
Sikuwa wa nyetu mkuu

Ila huyu mnyiramba ndio wa kwanza kweli kumgonga
okei, nikuulize swali, je wanapokuchezea au unapowapapasa papasa hao michepuko huwa angalau unadindisha kisha ukitaka kupenyesha ndo unasinyaa? Au hata ukiwapapasa na wakokichezea bado haidindishi?
 
Ni kweli ila kwa wachache hali kama hii hutokea, Yawezekana haujui nguvu ya saikolojia! Kucheza na ubongo ndo kila kitu!
Na kwa hiyo saikolojia, power of the brain, sidhani mimi kama nikimuona dadangu uchi nitasimamisha, sidhani! Ni saikolojia imenijenga hivyo ingawa sijajaribu ila sidhani.

Kwani dadako anatofauti gani na wanawake wengine
 
Wanawake wa singida na kondoa hapana aseeee ukiwa nao ktk date u hav to be serious vinginevyo utajuta

Nilikutana nae mmoja Singida stend ktk harakat za kuhangaika na life na ujana

Yaliyojiri usiku ule niliomba kukuche aseee manake ahahahah sio watu wazuri asubuhi yake nilivunja lain na nikatimua zangu kurud dar
 
okei, nikuulize swali, je wanapokuchezea au unapowapapasa papasa hao michepuko huwa angalau unadindisha kisha ukitaka kupenyesha ndo unasinyaa? Au hata ukiwapapasa na wakokichezea bado haidindishi?

Mkuu awali inaweza kusimama kimtindo ila nikianza kuingiza tu ndio kwaheri

Au muda mwingine INA bipu tu lkn itasinyaa mazima hata nifanyiwe romance gan
 
Usharogwa wewe, halafu hebu jaribu kutulia hao washichana wakikutana bahati mbaya wakasimuliana watakuita hanisi muombe mungu akusaidie.
 
We ushachotwa mchanga wa nyao zako na kunyolewa mavuz na mnyiramba wako.
yaan hawa wanyiramba balaaa,

asikudanganye hata siku moja kukufanyia usafi Ikulu.

kuna jamaa angu alishafanyiwa hivyo, mnyiramba akakusanya zile zake za ikulu na za jamaa akafanyia hirizi.

mhhh jamaa katelekeza familia mazima na sasa imepita miaka 7 ndo anakurupuka na kutafuta familia.

Michupuko sio dili kabisa.
 
Nipen msaada jmn

Namba yake ya nini

Msaada ili uchepuke?? We mwehu nini. Yaani baada ya kutafuta suluhu kwa changamoto, hata za ukoo wenu, we unatafuta namba ya kuchepuka. Bora aendelee kukuroga, tena inabidi mganga aongeze ndumba ili ukichomeka tu mtarimo uwashe. Shame on you!
 
Nyoa mavuz yake kisha yachimbie mlangon akiwa anakuona, ukienda kwa mchepuko wako mambo kama kawaida.
 
Tatizo lako ni kwamba unampenda kupita kiasi na yeye anakuridhisha sana! Kilicho haribu ni huo mchepuko wa kwanza joogoo liliposhindwa kuwika tu ubongo ukajenga hali ya uoga( inferiority complex) pole sana sijui kama huwa unakunywa Pombe? Ningejua hilo ningalishauri tofauti! Don't give up Ila mchepuko siyo dili!

Hio hali ya inferority complex unaitoa vp
Mm sinywi pombe
 
Mmh kaka nahis kitu .

Amekuwa akininyoa mavuzi

Hata juzi kafanya hivo na huyatia katika Rambo ..

Unanifungua akili sasa

Ila na wewe mzito sana,akishafunga kwa Rambo ukayachome wewe mwenyewe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom