Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mimi nina mpenzi wangu naishi nae ni mwaka sasa tatizo lililonileta kwenu ni hivi mimi sio mzoefu na wanawake huyu ndio mwanake wa kwanza kufanya nae sex ni hivi karibuni nilipata mchepuko nikaenda kusex nao cha ajabu jogoo akagoma kusimama.
Mchepuko ukajitahidi kunifanyia romance lakini wapi, ukaleta supu ya mkia wa ng'ombe nikanywa wapi, hivo nikaondoka empty, huku nikihuzunika nikahisi labda uchovu, lakini nikirudi kwa huyu mpenzi wangu mnyiramba, jogoo anasimama nyuzi 90, napiga hadi bao 3.
Haikukomea hapo nikapata michepuko mingine kama Minne hali ni ile ile, hata nijiandae kwa vyakula gani, na nifanyiwe romance vipi, Jogoo hasimami.Ila nikirudi tu kwa huyu mnyiramba wangu au cheupe dawa wangu napiga mzigo hadi anaomba poo, japo Mimi na miaka 22 yeye 24.
Jana jumamosi nikapata mchepuko. Mwingine nikaenda nao gest maeneo ya tip top ni mzuri kila kitu, kilichotokea sikuamini, jogoo akagoma kusimama, before nilikunywa supu ya kongoro plus dona na maharagwe, nikaishia kumtia nyege, mtoto akanilaumu sana nikaona nimpoze na 15000, mimi huyo kucheki game ya man united na Norwich.
Jion nimerud kwa mpenzi wangu au cheupe wangu, jogoo kasimama nyuzi 90 nimekula mzigo nimeamka SAA 3 asubuhi hoi.
Maswali yangu kwenu wana MMU:-
Je huyu dada ananifanyia ushirikina?
Je kuna sababu nyingine zinazosababisha hii hali nje ya ushirikina?