Je huyu kijana alipewa adhabu stahiki au alionewa nn maoni yako mwana jf

Moyibi

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,054
701
1458932418529.jpg
Kijana mwenye umri wa miaka 21 raia wa Marekani aitwae Anthony Gooden, ameunguzwa vibaya na Baba yake wa kambo kwa Maji ya moto baada ya kumkuta na mwanaume nyumbani.

Taarifa zinasema kuwa kijana huyo ambaye anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Ushoga), alionywa na Baba yake huyo wa Kambo Martin Blackwell kuacha kuleta wanaume katika nyumba wanayoishi.

Ubuyu unaendelea kueleza kuwa siku ya tukio, Martin alimfuma kijana wake Chumbani wakifanya ‘uchafu’ huo usiokubalika na jamii na ndipo alipochukua uamuzi wa kumwadhibu kwa kumwagia maji ya moto ambayo yamemuunguza vibaya mgongoni.

Baba huyo anashikiliwa na Polisi huku taratibu za kumfikisha Mahakani zikifuatwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom