Je huu ni ustarabu au ushenz......?

Je huu ni ustarabu au ushenz......?

jompyain

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Unampa lift mtu kwa gari yako na ndani ya gari redio inapiga mziki mororow
akishaingia ndani ya gari unamuona anatoa simu yake, kisha anawasha redio ya sumu yake,

nasimu ni mchina, nyingi sauti zake zipo juu, je utamshusha au utazima redio ya gari yako msikilize redio ya ndani,
ya simu yake?
 
itabidi nimwambie ashike adabu yake......
nimpe lifti halafu anibugudhi.....no way....
 
Anahitaji kuelimishwa tu, kwamba huwezi kusikiliza nyimbo mbili kwa wakati mmoja inakuwa ni kelele. Zaidi mwambie awe na spika za masikioni kwa kuwa anaweza akawa anawasumbua watu wengine kwa kuwa si kila mtu angependa kusikiliza wimbo anaotaka yeye.
 
Yeyote alietia mikono yake shambani kwa kazi akigeuka nyuma tu hafai katika kazi we zima radio yako akishuka utaiwasha,atatoka na kisimu chake cha mchina atakuachia radio na gari yako
 
Si kila mmoja asikie anacho taka....!!!

Wewe sikia ya gari na yeye asikie ya simu. Si ndiyo maisha ya uswazi. Nyumba moja ina vyumba sita na kila chumba kuna mpangaji na kila mpangaji anawasha redio yake kwa sauti ya juu na wimbo tofauti. Faida yake ni kwamba unasikia vyote kwa wakati mmoja.
 
itabidi nimwambie ashike adabu yake......
nimpe lifti halafu anibugudhi.....no way....

There is a way Preta,...ni kwamba unamwacha ili kila mtu asikilize yake_wewe na mziki wako mororo na yeye na redio yake ya simu tena ya mchina yenye kelele...ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
There is a way Preta,...ni kwamba unamwacha ili kila mtu asikilize yake_wewe na mziki wako mororo na yeye na redio yake ya simu tena ya mchina yenye kelele...ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa

na zilivyo na kelele hizo simu.......ka mende kaingia masikioni......
u mzima wewe binafsi.....nimekukosa na leo nilikuwa maeneo ya kijiwe chako cha kung'arisha viatu.....vp umehamia wapi....?
 
na zilivyo na kelele hizo simu.......ka mende kaingia masikioni......
u mzima wewe binafsi.....nimekukosa na leo nilikuwa maeneo ya kijiwe chako cha kung'arisha viatu.....vp umehamia wapi....?

Mimi mzima,..bado nipo hapo kijiweni naendelea na kazi yangu ya kushona na kung'arisha viatu,...kwa hiyo leo umeninyima riziki ya kukubrashia viatu...acha roho mbaya bhana,..lakn usijali siku hizi wateja wengi_si unajua mambo ya uchaguzi mafisadi wote wamehamia hapa a-town.
 
Back
Top Bottom