Je, huu ni ubaguzi wa rangi? Huyu mzungu alikua na maana gani

Pole iyo ni kawaida.hata mimi nikienda sehemu ikitokea hali kama iyo huwa hata kuhama nahama.mana unakuta nataka ile hali ya kuwa kivyetu mimi na mwenzangu
 
pole mtoa mada lazma wewe umekaa ki stranger zaid hatuwez kukaa na mtu tunayemuhofia vjn wa R chuga tunawajua mnawaza wizi tu( haaaahaaahaaaaa just kidding)
Hahaha mkuu arusha miaka mitatu tu, morotown born and raised.
 
Ndio tatizo letu wabongo tunapenda mno kujishuki na linapotokea jambo lolote iwe kwa mzungu,mwarabu ama mhindi..sasa wangelikuwa black wenzetu hapo angesema nao ni wabaguzi? Aise Tunapenda mno kulalamika jamani.
Hakuna binadamu aliyebaguliwa na mzungu kama mtu mweusi. Kujishuku kupo kwa sababu mpaka leo ubaguzi bado upo, ingawa inawezekana hii isiwe strong case ya ubaguzi ila chochote kinawezekana.
 
Au mkuu ulikuwa na harufu ya kile cha Arusha a.k.a Sigara ya Bob Marley

Wiki iliyopita siku ya ijumaa, nilizama Regalz ile ya AIM mall *The Best Movie Theater in Arusha* kucheki Ready Player One. Kutokana na ukubwa wa theater na uchache wa wateja, ni mara chache mnoo kukuta imejaa. Binafsi hua napenda kukaa pale chini ya projector row ya pili kutoka mwisho.

So nimezama nikakuta kuna couple ya kizungu, imekaa pembeni ya ile seat yangu. Nikawapita nikaenda nikakaa, nikawa mimi na huyo wa kike tumekaa seats zinazofatana. Ile nimesettle tu nikamuona yule manzi kama anamnong'oneza kitu hivi jamaa, ghafla wakasimama jamaa akahamia seat ya kushoto kwake, then yule manzi akahamia ile seat ya jamaa, kiasi kwamba kati yangu na yule manzi kukawa na gap la seat moja.

Hicho kitendo, sijui kwanini ila it made me feel some type of way. Nikajikuta nawaza is it because i'm black, au kwa mfano angekaa mzungu mwenzao wangehama? anyway nikaona udwanzi huu, nikanyanyuka nikaenda kumchapa kofi..just kidding..nikanyanyuka na mimi nikahama seat nikahamia ya kulia kwangu kiasi kwamba kati yangu na ile couple kukawa na gap la seats mbili.

Sema movie ilikua kali ikanipotezea mawazo, leo ndo nimekumbuka nikaona niishare.
 
Yaani hiyo ilikuwa ni kiti chako kuwa lazima ukikalie na mbanane?
 
Kwanza kabisa, nimejaribu kuweka sababu iliyopelekea nikakaa seat niliyokaa, ila kwa makusudi kabisa umeamua kuignore hiyo part. Pili its been over a week tangu hii incident itokee, na kama umesoma vizuri utagundua kuwa sijaja hapa kulalamika, matter of fact nilishasahau ni leo tu nimekumbuka. Tatu, thank you for your input, Pamoja.
You are making a mountain out of molehill. Binafsi ningekuwa mimi nimekaa na Mr, afu uje ujiweke karibu yetu wakati nafasi zipo za kutosha ningemshauri mwenzangu tuhame tukakae huko mbali na wewe, kwani kwa maksudi kabisa uliamua kuingilia Privacy za watu.

Kwanza hata kama wamekubagua shida nini? Maisha yana mambo mengi mno tukiamua kuquestion kila kitu hatutofika.
 
Kwanza kabisa, nimejaribu kuweka sababu iliyopelekea nikakaa seat niliyokaa, ila kwa makusudi kabisa umeamua kuignore hiyo part. Pili its been over a week tangu hii incident itokee, na kama umesoma vizuri utagundua kuwa sijaja hapa kulalamika, matter of fact nilishasahau ni leo tu nimekumbuka. Tatu, thank you for your input, Pamoja.
Easy...
 
Back
Top Bottom