Je, huu ni ubaguzi wa rangi? Huyu mzungu alikua na maana gani

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
917
1,089
Wiki iliyopita siku ya ijumaa, nilizama Regalz ile ya AIM mall *The Best Movie Theater in Arusha* kucheki Ready Player One. Kutokana na ukubwa wa theater na uchache wa wateja, ni mara chache mnoo kukuta imejaa. Binafsi hua napenda kukaa pale chini ya projector row ya pili kutoka mwisho.

So nimezama nikakuta kuna couple ya kizungu, imekaa pembeni ya ile seat yangu. Nikawapita nikaenda nikakaa, nikawa mimi na huyo wa kike tumekaa seats zinazofatana. Ile nimesettle tu nikamuona yule manzi kama anamnong'oneza kitu hivi jamaa, ghafla wakasimama jamaa akahamia seat ya kushoto kwake, then yule manzi akahamia ile seat ya jamaa, kiasi kwamba kati yangu na yule manzi kukawa na gap la seat moja.

Hicho kitendo, sijui kwanini ila it made me feel some type of way. Nikajikuta nawaza is it because i'm black, au kwa mfano angekaa mzungu mwenzao wangehama? anyway nikaona udwanzi huu, nikanyanyuka nikaenda kumchapa kofi..just kidding..nikanyanyuka na mimi nikahama seat nikahamia ya kulia kwangu kiasi kwamba kati yangu na ile couple kukawa na gap la seats mbili.

Sema movie ilikua kali ikanipotezea mawazo, leo ndo nimekumbuka nikaona niishare.
 
Ingekua couple ya kibongo nadhani jamaa angekupiga kibao akili yako ikae sawa, seat zote hizo empty unawashwa washwa kukuaa na mademu wa watu karibu au wewe ni TALL GUY FAMLICIOUS
Soma tena mkuu. Kuna point muhimu umeimiss
 
Point taken mkuu.
yes mimi ilinisaidia sana kipindi nafanya kazi sehem zenye ubaguzi wa makabila, kila mkiwa lunch na office mates wanaongea kilugha haha
Maboss nao dio hao hao wengi wazungu na wahindi nao unaona wanafanya kitu ambacho unahisi kabisa hapa nabaguliwa, hata mda wa cake kama kuna birthday ofisini unaona wewe ndio unakuwa wa mwisho kupewa, ila nikaona njia ni kubadiri mawazo kutoka hasi kwenda chaya.
na mambo yalikuwa poaaaa kabisa
 
Back
Top Bottom