Je huu ni mtego au biashara

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Leo asubuhi nimepokea ujumbe unaniambia niandike neno ndugu kwenda
namba 0716 634785 kisha nifuate maelezo yaani maelezo ya kupata
msichana ninayemtaka kwa kustarehe nae leo hii au siku nyingine yoyote
ile kwa kiasi fulani cha pesa

mimi sijafanya hivyo lakini inawezekana huu ni mtego fulani hivi kwa
watu


wadau muwe makini kama nanyi mme pata ujumbe kama huu jihadharini
 
Tanzania!
ufisadi kila kona! kila nyanja, waktai wengine tunawaza kupata viongozi bora wengine wanawaza kuwapa akina Shy wanawake!

Shy hawajui kuwa wewe una aibu?? nijuavyo hizo meseji wengi wata respond na wengi watalia wewe subiri utasikia tu!
 
jee akitumiwa msichana huo ujumbe, inabidi afate maelezo ili akasagane?. Ama kwa wasichana kuna vidume vimeandaliwa. Maajabu!.
 
me mbona nimejiunga nao ,na tayari nimepewa mrembo mzuriii,na nili enjoy nae kusema kweli,hii service bab kubwa sana.
 
Unashangaa! mwenzio Masanilo ndio ushampatia dili! lazima keshapiga hiyo namba na akirudi atatupatia tu majibu,
 
Achana na mambo ya kumkasirisha muumba,ndio maana mafisadi TZ hawaishi.
 
Tusiandikie mate ilihali wino upo,Nimetuma ujumbe sasa hivi ,Na bila kupoteza muda nimejibiwa hivi,"Club 2WASILIANE;asante kwa SMS uliyotuma.Mitambo inafanyiwa kazi kwa muda,ikiwa tayari utajibiwa."Hii ina maana ni jambo lipo katika mitambo ya wenye simu(Service Provider) sasa ni aina gani ya biashara mie naelewa ni uchumaji wa vijisenti vya wajasiriamali wetu na walalahoi tu.Mtindo wa jinsi hii niliuona kule South Africa wewe unajisajili kisha wanakutumia taarifa mbali mbali za huduma hizo kisha unakatwa mihela,Nadhani hata hapa imeanza kushika kasi kwani kuna michezo mbali mbali inachezwa unailipia kwa njia ya simu.Basi na huu ni mmojawapo.
 
Kwani jamani hamkusikia lile danguro la wachina. walikuwa wanatumia the same technique kupata wateja. Its for real ndugu yangu usidhani ni kutegwa. Ndio maendeleo ya science and technology.
 
Kwani jamani hamkusikia lile danguro la wachina. walikuwa wanatumia the same technique kupata wateja. Its for real ndugu yangu usidhani ni kutegwa. Ndio maendeleo ya science and technology.

Unarahahisishiwa huduma huna haja ya kwenda Ohio,Magomeni,Kinondoni,Buguruni au Manzese ukatega wewe unavuta wire tu...simple.
 
Najua kwa muda huu mtakuwa na data kamili wale mnaopenda kufanya majaribio.
 
Kwani jamani hamkusikia lile danguro la wachina. walikuwa wanatumia the same technique kupata wateja. Its for real ndugu yangu usidhani ni kutegwa. Ndio maendeleo ya science and technology.
Mkuu,hebu tuwekane sawa basi;ina maana hii kwa wanaume tu?Endapo kama mwanamke atakuwa ametumiwa huo ujumbe na akafata maelekezo sasa ina maana kuwa wanaume wapo kwaajili ya kumshughulikia?!
Kama ni kweli basi inakuwa rahisi kama vilevile kwenda dukani kununua sukari.
 
Mkuu,hebu tuwekane sawa basi;ina maana hii kwa wanaume tu?Endapo kama mwanamke atakuwa ametumiwa huo ujumbe na akafata maelekezo sasa ina maana kuwa wanaume wapo kwaajili ya kumshughulikia?!
Kama ni kweli basi inakuwa rahisi kama vilevile kwenda dukani kununua sukari.

Mkuu mie kwa upande huo mwingine bado sijasikia inawezekana zipo sina uhakika. Hawa ni wafanya biashara sasa kama kuna wafanyabiashara wa kiume basi nadhani na kwa kina mama nao pia huduma hii inawezakuwepo
 
hivi ukiachilia mbali suala la biashara hii kuwa ni kinyume na sheria kuna ubaya gani mwingine? hebu fikiria
1. Kijana hana mke wala muda wa kuwa girlfriend hana kutokana na kwenda race na maisha nafanye?Hapa una call unaletewa unalipa then unasepa.
2. Kwa kuwa unajua wazi hapa ni biashara hivyo unakuwa extra care na protective gear hapo swala la ngoma linapita kushoto badala kuwa na demu/mchizi unayemuamini kumbe anamega/gwa kichizi na wewe unakula kavu.
3. Ukosefu wa ajira na waathirika wakubwa ni dada zetu kutokana na mfumo baguzi katika elimu, kwa kuwa kuna hitaji la huduma hii na haihitaji...itasaidia watoto wa kike kibao
4. Tuna apply ostrich philosophy kwa kuweka sheria zinazopingana hali halisi, badala ya kuweka sheria kuzuia biashara hii bila mafanikio ni bora ingetengenezewa utaratibu unaofaa kwani kwa sasa inafanyika hata kama tunajifanya hatujui tena kibaya zaidi kwa mazingira ya hatari zaidi ikiwa ni pamoja na kuajiri watoto wadogo.
5. Nchi ambazo zimehalalisha biashara hii zina idadi ndogo ya wagonjwa wa UKIMWI kuliiko sisi TZ( i think kuna mfano wa Senegal lakini naomba nicheck fact hii kwanza)
 
Back
Top Bottom