Je huu ndio ukweli kuhusu mshana jr ?

@ Mshana jr jibu shutuma zako hapo juu... Na mimi nataka unibadilishie cheti changu cha diploma kiwe masters!! :D :D :D :D :D
 
itachukua miaka miwili uko tayari!
Kwa usawa huu ukiangalia kutoka dip, uingie degree 3yrs halafu ndio uanze ishu ya masters miaka mengine kibaaaaao ningekwambia nipo ready! :D :D :D ila mbadilishie huyo jamaa atoke kwenye ubashite aende kwenye div 1 kwanza! :D :D :D :D
 
Sasa jamaa yupi tena?
 
Back
Top Bottom