Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,249
Chadema ina Network dunia nzimaHakuna maridhiano hapo.
Naam.Chadema ina Network dunia nzima
Kwani kibuyu cha asali kimeisha?Hakuna maridhiano hapo.
Kimebaki kidogo huko Bumbuli, Mtama, na Jimbo la Burundi kule Singida.Kwani kibuyu cha asali kimeisha?
Nonsense, baada ya asali waliyolamba kwisha ndio mnakurupuka na maazimio. Genge la hovyo kabisa hili saccos.Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .
Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo kiuhalisia ni KAMA DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima , na sasa maazimio hayo yamewekwa hadharani kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu .
Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 , Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA , Chadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni maana walishavuliwa uanachama wa Chadema .
Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .
Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
Hiyo ni kamati ya harusi ya mwajuma ndala ndefu na Juma bongeKamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .
Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo kiuhalisia ni KAMA DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima , na sasa maazimio hayo yamewekwa hadharani kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu .
Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 , Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA , Chadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni maana walishavuliwa uanachama wa Chadema .
Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .
Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
Kwani shangazi yako alikuambia asali aliyogema inatosha kwa siku ngapi! Hili nalo ni tatizo la kufurahia kutawaliwa.Kwani kibuyu cha asali kimeisha?
Mpeleke baba yako Basi naye alambe Kama Kuna asaliNonsense, baada ya asali waliyolamba kwisha ndio mnakurupuka na maazimio. Genge la hovyo kabisa hili saccos.
Mkuu 'Erythrocyte', mbona jibu la swali ni rahisi?Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
Demokrasia ya kweli huanzia ndani!Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia
Kwa kuingilia kesi iliyoko mahakamani?na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .
Hapa ni kweli maana ni chama cha dunia mzima!Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo ni DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima
Kumbe kuna mazungumzo ya maridhiano?. Kumbe maridhiano hayo ya sharti la kuondolewa hao wabunge halali 19?.Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 ,
Jambo lolote likifanyika kinyume cha sheria, utatuzi wake ni kwa sheria kufuatwa, na hatua ya kwanza ni kuripoti kwenye vyombo vya sheria, vipi hili lilifanyika?. Chadema mliripoti popote?.Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria
Duh...!.kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA ,
Chadema si nimesema haiutambui uchaguzi na kuuita ni uchafuzi, inahitaji maridhiano ili iweje?. Halafu makamanda walio ipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, leo ni kuitwa mamluki?! Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tuChadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni
Maadam Chadema ina katiba yake ambayo imeweka utaratibu wa kuwavua uanachama wanachama wake, jee utaratibu wa kuwavua uanachama ulifuatwa?.maana walishavuliwa uanachama wa Chadema.
Hapa ni kweli zuio lile ni haramu na kinyume cha katiba. Kumbe katiba ikivunjwa, suluhisho ni kutafuta maridhiano kwa mazungumzo?! Nilidhani Chadema kama chama makini ile tuu katiba ya nchi imekiukwa wangechukua hatua stahiki Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .
Hiki ni swali la msingi sana.Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
1. Ni kweli demokrasia ya kweli huanzia ndani, kama una rafiki yako ambaye hakutendewa haki kule Chadema tutajie, ila asiwe yule wa ACT, huyo alijitakia majanga yakamkuta kwa ujuaji wake, ndumilakuwili.Demokrasia ya kweli huanzia ndani!
Kwa kuingilia kesi iliyoko mahakamani?
Hapa ni kweli maana ni chama cha dunia mzima!
Kumbe kuna mazungumzo ya maridhiano?. Kumbe maridhiano hayo ya sharti la kuondolewa hao wabunge halali 19?.
Jambo lolote likifanyika kinyume cha sheria, utatuzi wake ni kwa sheria kufuatwa, na hatua ya kwanza ni kuripoti kwenye vyombo vya sheria, vipi hili lilifanyika?. Chadema mliripoti popote?.
Duh...!.
Chadema si nimesema haiutambui uchaguzi na kuuita ni uchafuzi, inahitaji maridhiano ili iweje?. Halafu makamanda walio ipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, leo ni kuitwa mamluki?! Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Maadam Chadema ina katiba yake ambayo imeweka utaratibu wa kuwavua uanachama wanachama wake, jee utaratibu wa kuwavua uanachama ulifuatwa?.
Hapa ni kweli zuio lile ni haramu na kinyume cha katiba. Kumbe katiba ikivunjwa, suluhisho ni kutafuta maridhiano kwa mazungumzo?! Nilidhani Chadema kama chama makini ile tuu katiba ya nchi imekiukwa wangechukua hatua stahiki Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
Hiki ni swali la msingi sana.
P
Watakula walipolala hao wahuniNonsense, baada ya asali waliyolamba kwisha ndio mnakurupuka na maazimio. Genge la hovyo kabisa hili saccos.
Anapoteza muda hadi MWAKA wa uchaguzi mkuu!!ili aweke mazingira ya chama kushinda!anajaribu Bahati yake!happy hajui hakuna uchaguzi BILA KATIBA MPYA!!SIO jukumu la chadema wala CCM la kuamua mstakabali wa Katiba ya nchi hii bali WANANCHI wenye nchi!!Mkuu 'Erythrocyte', mbona jibu la swali ni rahisi?
Ngoja nikupe 'hint," kwani Samia anasimamia wapi kuhusu maswala hayo?
Katika mambo yote yanayozungumzwa kwenye hayo yanayoitwa "maridhiano", hakuna hata moja ambalo Samia ameweka 'commitment' juu yake, kwamba kuna uhakika wa kulitimiza. Badala yake, kwenye maswala yote "ananunua muda", kupteza lengo kiujanjaujanja tu!
Kwa hiyo, kama CHADEMA wanayo mipango yao, hawana budi ya kufuata programu yao badala ya kupotezewa muda.
No sio issue ya urafiki, mimi ni mtetezi tuu wa haki za wote nikitetea haki ya Chadema kuwawajibisha wanachama wake ambao ni watovu wa nidhamu ikiwemo kuwatimua, kwa vile katiba ya Chadema imeweka utaratibu wa kuwavua uanachama wanachama wake ambao ni watovu wa nidhamu ikiwemo kuwatimua, then wanachama wanao adhibiwa na kutimuliwa waadhibiwe kwa haki na kutimuliwa kwa haki kwa kufuata kanuni na utaratibu ikiwemo mamlaka halali za nidhamu na sio zile kangaroo courts.1. Ni kweli demokrasia ya kweli huanzia ndani, kama una rafiki yako ambaye hakutendewa haki kule Chadema tutajie, ila asiwe yule wa ACT huyo alijitakia majanga yakamkuta kwa ujuaji wake.
Kuna kitu kinaitwa timing, nikikuzabua kibao au hata nikikubaka, wewe usipolalamika rasmi utaonekana umeridhia!. Na baada ya kukutenda, nikianza mimi kukimbilia mahakamani kukulalamikia umenitenda wewe ndio utapata sweka lupango mpaka ije kuthibitishwa kumbe mchokozi ni mimi, it will take time and by that time you'll have suffered much!.2. Kesi mahakamani kuingiliwa ni sawa, kwasababu huwezi kuvunja sheria huku ukijidai kufuata sheria, wale wanawake sio wawakilishi wa chama chochote, kule bungeni wanafanya nini, na kwa precedence zilizotokea nyuma, wale hawana exception yoyote.
Kwa hili naomba tuu kuheshimu mawazo yako, ila kiukweli kabisa CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.3. Kuhusu suala la kuwaripoti hao jamaa kwenye vyombo vya sheria, huko kungekuwa kupotezeana muda tu, kama tunavyoona muda ukipotezwa kwa Spika kuendelea kuwatetea kule bungeni, hizo taasisi za CCM haziaminiki sana, hasa kama kesi zinazokuwepo ni against interest za CCM.
- Nakushangaa kwanini hizo "Kangaroo Courts" unazilalamikia, ikiwa hao waliokuwa wanachama wao walikubaliana na taratibu za taasisi yao, wakazijua fika sheria zao, chini ya hizo "Kangaroo Courts", na wakakubali kuzitii ndio maana wakapewa uanachama.No sio issue ya urafiki, mimi ni mtetezi tuu wa haki za wote nikitetea haki ya Chadema kuwawajibisha wanachama wake ambao ni watovu wa nidhamu ikiwemo kuwatimua, kwa vile katiba ya Chadema imeweka utaratibu wa kuwavua uanachama wanachama wake ambao ni watovu wa nidhamu ikiwemo kuwatimua, then wanachama wanao adhibiwa na kutimuliwa waadhibiwe kwa haki na kutimuliwa kwa haki kwa kufuata kanuni na utaratibu ikiwemo mamlaka halali za nidhamu na sio zile kangaroo courts.
Kuna kitu kinaitwa timing, nikikuzabua kibao au hata nikikubaka, wewe usipolalamika rasmi utaonekana umeridhia!. Na baada ya kukutenda, nikianza mimi kukimbilia mahakamani kukulalamikia umenitenda wewe ndio utapata sweka lupango mpaka ije kuthibitishwa kumbe mchokozi ni mimi, it will take time and by that time you'll have suffered much!.
Hili jambo la wabunge 19 ni simple and straight forward if Chadema would have done the right thing.
- Hatua ya kwanza baada ya wabunge hao 19 kuapishwa ni kwa Chadema kufanya an internal due process to establish the authenticity ya barua za uteuzi wao.
- Baada ya kubaini hakuna any official letters or official correspondents kati ya Chadema na NEC, then huo ni uthibitisho kuwa majina yale ya hao wabunge, yamepelekwa kwa forged documents hivyo hiyo ni forgery ambayo ni kosa la jinai.
- Hatua ya tatu ilikuwa ni kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai kufanyika na kuwaarifu NEC na Spika
- Jeshi la polisi ndio mamlaka pekee nchini Tanzania yenye kuweza kufanya uchunguzi wa kijinai, hivyo NEC wangelazimika kuzionyesha hizo barua za uteuzi za Chadema ambazo ni forged kuthibitisha jinsi ya forgery imetendeka.
- Baada ya uthibitisho wa forgery NEC inakuwa haina jinsi bali kutengua uteuzi wao na kumjulisha Spika. Hili jambo lingekuwa limekwisha siku nyingi!.
Kwa hili naomba tuu kuheshimu mawazo yako, ila kiukweli kabisa CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
P