Je, huu ndio mwisho wa maridhiano ya CHADEMA na CCM?

Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .

Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo kiuhalisia ni KAMA DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima , na sasa maazimio hayo yamewekwa hadharani kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu .

Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 , Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA , Chadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni maana walishavuliwa uanachama wa Chadema .

Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .

Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
Masharti hayo ni Rahisi, naona watafuata na kutimiza.

Nimefurahia kuwekwa Kwa timeframe ya mazungimzo, nimeskia kwenye hoja nyingi wakisema Kabla ya NOVEMBER, good move.

Sharti gumu ni KURUDIA UCHAGUZI, kama wangeliweka Hilo, mazungimzo yangepaa.

Ameeen
 
Masharti hayo ni Rahisi, naona watafuta na kutimiza.

Nimefurahia kuwekwa Kwa timeframe ya mazungimzo, nimeskia kwenye hoja nyingi wakisema Kabla ya NOVEMBER, good move.

Sharti gumu ni KURUDIA UCHAGUZI, kama wangeliweka Hilo, mazungimzo yangepaa.

Ameeen
Ngoja tuone
 
Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .

Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo kiuhalisia ni KAMA DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima , na sasa maazimio hayo yamewekwa hadharani kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu .

Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 , Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA , Chadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni maana walishavuliwa uanachama wa Chadema .

Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .

Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
November unaezakuwa mwezi wa kurudi LISU na wenzie endapo mambo yataenda ndivyo sivyo Ili Kuongeza mbinyo Kwa mamlaka za juu.
 
Demokrasia ya kweli huanzia ndani!

Kwa kuingilia kesi iliyoko mahakamani?

Hapa ni kweli maana ni chama cha dunia mzima!

Kumbe kuna mazungumzo ya maridhiano?. Kumbe maridhiano hayo ya sharti la kuondolewa hao wabunge halali 19?.

Jambo lolote likifanyika kinyume cha sheria, utatuzi wake ni kwa sheria kufuatwa, na hatua ya kwanza ni kuripoti kwenye vyombo vya sheria, vipi hili lilifanyika?. Chadema mliripoti popote?.

Duh...!.

Chadema si nimesema haiutambui uchaguzi na kuuita ni uchafuzi, inahitaji maridhiano ili iweje?. Halafu makamanda walio ipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, leo ni kuitwa mamluki?! Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Maadam Chadema ina katiba yake ambayo imeweka utaratibu wa kuwavua uanachama wanachama wake, jee utaratibu wa kuwavua uanachama ulifuatwa?.

Hapa ni kweli zuio lile ni haramu na kinyume cha katiba. Kumbe katiba ikivunjwa, suluhisho ni kutafuta maridhiano kwa mazungumzo?! Nilidhani Chadema kama chama makini ile tuu katiba ya nchi imekiukwa wangechukua hatua stahiki Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Hiki ni swali la msingi sana.
P
Umeongea point, IPO haja ya Kufungua KESI mahakamani ya kikatiba kuishinikiza Serikali kuondoa zuio Haramu lilowekwa kinyume cha Katiba.

Lissu na Kibatala wamekusikia????
 
Ndugu P, suala la COVID-19 linaweza malizwa na Maridhiano, na haliingilii KESI mahakamani.

KUMBUKA KESI ya UGAIDI wa Mbowe ilikuwa mahakamani na Bado Serikali iliiondoa kupitia DPP!!!!
 
Umeongea point, IPO haja ya Kufungua KESI mahakamani ya kikatiba kuishinikiza Serikali kuondoa zuio Haramu lilowekwa kinyume cha Katiba.

Lissu na Kibatala wamekusikia????
Mahakama ipi ?
 
Chadema ina Network dunia nzima

Pale hapakuwa na maridhiano bali Mbowe aliingizwa cha kike ili mama Samia atawale bila pressure. Kimsingi mimi ni mmoja ya wafuasi wa CDM tuliochukizwa sana na maridhiano fake aliyokwenda kuingia Mbowe. Matokeo yake amepotezea CDM brand yake, na kuonekana kama CDM ni chama cha kupigania maslahi ya viongozi tu.

Tunawashauri viongozi wa CDM ili tuweze kuwaelewa, watoke hadharani na kutuomba msamaha wafuasi wao kwa kuingia maridhiano fake na majizi ya kura ya CCM. CCM haitaki maridhiano, inataka iachiwe itawale, maridhiano kwao ni pale wanapokuwa madarakani na sio zaidi ya hapo.
 
Ikifika November Bado CCM hawaeleweki, wajitoe.
 
Andiko la kikakamavu mno !
 
Huna ujualo na huna impact yoyote. Wewe mwisho wa kuandika ni hapa JF tu
 
Kamati Kuu ya Chadema iliyoketi siku chache zilizopita imetoka na maazimio kadha wa kadha yenye lengo la kujenga Demokrasia na kuimarisha Utawala wa Sheria Nchini Tanzania .

Maazimio ya kamati kuu hiyo ambayo kiuhalisia ni KAMA DIRA YA TAIFA yalisubiriwa kwa hamu kubwa karibu Dunia nzima , na sasa maazimio hayo yamewekwa hadharani kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu .

Baadhi ya maazimio ambayo kimsingi yanagusa moja kwa moja Uhai wa Mazungumzo ya Maridhiano ni pamoja na Sharti la kuondolewa kwa Wabunge wanaoitwa COVID 19 , Wakiongozwa na Halima Mdee , hawa waliingizwa bungeni kinyume cha sheria kwa lengo la KUWADANGANYA WAFADHILI ILI WAONE KWAMBA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI ILI SERIKALI IPEWE MISAADA , Chadema inataka maridhiano yaendelee baada mamluki hawa kuondolewa bungeni maana walishavuliwa uanachama wa Chadema .

Azimio lingine kabambe kutoka Chadema linahusu KUONDOLEWA KWA ZUIO HARAMU LA MIKUTANO YA HADHARA , ikumbukwe kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ni haki iliyo ndani ya Katiba ya Nchi .

MWL NYERERE aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitamka kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI , hapa alimaanisha kwamba uhai wa chama chochote cha siasa uko kwenye maandamano na mikutano ya hadhara .

Sasa Swali letu ni hili , kwa Masharti haya ambayo ni kitanzi kwa ccm , Je Maridhiano yatadumu , au ccm itaweka mpira kwapani ?
Ngumu kumesa aisee !!! Ngoja tuone. !!
 
Back
Top Bottom