GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Utakuta pale Mtu Umeme unapokatika tu Nyumbani Kwake ikiwa ni usiku basi utaona anakimbilia ama dirishani au nje kuangalia kama kwa Majirani zake nao upo au umekatika kama Kwake AU kama ukikatika asubuhi / mchana utaona anatoka Kwake kabisa kwenda kuzunguka nje kwa majirani na kuanza kuulizia / kudadadisi kama na kwa Wenzie ( Majirani ) upo au umekatwa.
Je huu sio Wivu wa Kutukuka uliopitiliza Kiwango wa sisi Watanzania?
Naomba kuwasilisha.
Je huu sio Wivu wa Kutukuka uliopitiliza Kiwango wa sisi Watanzania?
Naomba kuwasilisha.