π©π©π©π©
Hayanaga akili kama hilo wanaloliunga mkono!Uwepo wa watu wa aina yako ndio uliosababisha taifa hili kuingia kwenye hii precarious situation!
We unavaa uhusika wa nan mpaka uone kama hakuna risk? Kuna watu wamejivika utakatifu pale kazingua pakubwa sana. Na kuna baadhi ya maneno yake yanaonkana kabisa yamesimamia mtifuano usio na kikomo na serikal hadi itoke madarakani.Hakuna risk yeyote. Wangapi walitikisa serikali/CCM wakachimbwa biti waliporudi kitaa wakakaa kimyaa mazima. Binafsi nawashauri wamwachie tu hana madhara. Ni vile waafrika tuna unyani nyani fulani wa kukikimbilia kuumizana kwa mambo madogo. Hata zile lectures zake mbona zilikua za kupuuza tu.
Natamani na kundi la akina Mdude nalo liwe haiπ
Hivi Sativa yupo Bongo?We unavaa uhusika wa nan mpaka uone kama hakuna risk? Kuna watu wamejivika utakatifu pale kazingua pakubwa sana. Na kuna baadhi ya maneno yake yanaonkana kabisa yamesimamia mtifuano usio na kikomo na serikal hadi itoke madarakani.
Umemuona Sativa? Unajifunza nn kutoka kwake?
Akili yako imejaa uharoAlirudi lini toka Cuba?..aliiingilia airport au bandari ipi?
Kwani yupo hai kweli
Sina hakikaHivi Sativa yupo Bongo?
HaiwezekaniNatamani na kundi la akina Mdude nalo liwe haiπ
https://www.facebook.com/Kweli Mdude Sumu ya nyingu ,ila HOMORA anajua Mdude alipo.