Source nani 😂 😂Guys tuelewane guys, Polepole alikusanywa pamoja na wale waliouawa na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Source: Guys
Uwepo wa watu wa aina yako ndio uliosababisha taifa hili kuingia kwenye hii precarious situation!Alirudi lini toka Cuba?..aliiingilia airport au bandari ipi?
Guys 😎Source nani 😂 😂
Jibu swali,ache kujitilisha huruma,mmezingua mmebondwa,maisha yanasonga,na hamtoaminika tenaUwepo wa watu wa aina yako ndio uliosababisha taifa hili kuingia kwenye hii precarious situation!
Your days are numbered. Safari hii mapepo wachafu watakutokeni tu!Jibu swali,ache kujitilisha huruma,mmezingua mmebondwa,maisha yanasonga,na hamtoaminika tena
We are honey Badgers.Jibu swali,ache kujitilisha huruma,mmezingua mmebondwa,maisha yanasonga,na hamtoaminika tena
Kondo Cemetery 📌Guys tuelewane guys, Polepole alikusanywa pamoja na wale waliouawa na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Sourse: Guys
Wenye nia njema nae japo kuna Wapumbavu mnatudharau humu tulipokuwa tukimshauri kwa uzuri tu hadi kuanzisha Mada za kumsihi si mlikuwa hamtuelewi? Nimetukanwa na Kudhihakiwa mno hapa kwa Mada zangu mbili tatu za Kumsihi na Kumuonya huku nikimtaka abadilishe Strategies zake kwani alikokuwa akipambana napo hapajawahi Kushindwa hata kwingineko duniani na asisahau pia kuwa alishakula Kiapo ambacho logically tu ukienda nacho Kinyume hakuna msalia mtume zaidi ya Kuondoka mazima na kuwaacha Wanafiki duniani wakijifanya Kukulia na Kinafiki kabisa kukuita Shujaa wakati hata Vita ulivyokuwa ukivipigana vilikuwa ni vya Kitoto na visivyokuwa na Malengo na Maandalizi ya Kimbinu. Endeleeni kututukana, ila wengine hatujawa akina ''Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'' hivi hapa JamiiForums kimakosa.Kuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee
Ni rahisi sana kulinda mzigo ama mfu wakati mkifanya michakato mingine ili kuweka mambo sawa! Ni ngumu mno kulinda mtu aliye hai hasa akiwa mateka ama mfungwa....kwa muktadha wa mada hii tutayaacha makundi yote na kujadili kundi la mateka tu....
Turejee simulizi ya Dr. Shika Urusi na jinsi alivyoweza kutoroka!
Mipango yote ya kufanikisha utekaji na hatimaye zoezi kukamilika ...huja kipengele kigumu mno...kumlinda mateka....ni ngumu kwakuwa unamshikilia hivyo kuna siku utakuja kumwachia baada ya muafaka kufikiwa na pande zote mbili (mteka na mtekwaji)
Ni hatari kukaa na mateka muda mrefu...
- Mshana Jr
- Replies: 126
- Forum: Jamii Intelligence
Kwa hali ilivyo ni wazi kwamba aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Cuba alitekwa na 'wasiojulikana' baada ya kuwabagaza vilivyo
Swali muhimu je bado yuko hai? Na kama yuko hai je kuna siku ataachiwa?
Jana kaka yake katoa 'ultimatum' ya masaa 24 mdogo wake aachiwe la sivyo asije akalaumiwa maana yake atalipa kisasi
Ameenda mbali zaidi kwa kuthibitisha kwamba mdogo wake yuko hai na anashikiliwa kwa amri ya mtu aliyemtaja kwa jina lake!
Kama ni kujiamini huko kumepitiliza na sidhani mama ni mkwara mbuzi
Kwa hulka ya utekaji ni vigumu sana mateka kupatikana akiwa hai
Mateka si mzigo kwamba unaweza kukaa nao kwa muda mrefu ukiwa umeificha mahali.. Mateka wa kuachiwa hapaswi kushikiliwa kwa muda mrefu kwakuwa ni gharama na risk ni kubwa. Huku akihitaji timu ya kumhudumia mahitaji muhimu na ya lazima mama
Chakula/ vinywaji
Matibabu
Ulinzi
Mateka wa muda mrefu hana tofauti sana na mfungwa wa kunyongwa... Kati ya watu wanaomhudumia kila siku hufika mahali hofu ikawatoka na kuanza kujenga mazoea
Mateka wa namna hugeuka kuwa na ushawishi wa ajabu kwa baadhi ya watu wanaomhudumia na kujikuta automatically wanatengeneza bond inayozaa huruma na utu.. Rejea simulizi ya askari mmarekani aliyekuwa akimlinda Saddam Hussein
Rejea pia mabinti mateka walioolewa na askari wa boko haram waliokuwa wakiwalinda
Wametekwa wengi, waliofanikiwa kupatikana wakiwa hai ni wale walioachiwa baada ya muda mfupi ama waliopelekwa mahabusu za polisi baada ya muda mfupi
Kwa kipindi alichoshikiliwa Polepole kama bado yuko hai
Je keshakutana na mangapi?
Je keshakutana na wangapi?
Je keshafahamu mangapi?
Je kupitia "fatal mistakes" kama kuitana majina halisi na kutaja maeneo halisi ama kutamka mambo bila kutarajia.. Kumemfaidisha mtekwaji kiasi gani?
Je ninini hasara/faida za kumwachia? Hazitakuwa "grave mistake" kea wahusika?
Je ninini faida/hasara za kuendelea kumshikilia?
Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu kifo.. Ni sawa na supu ya umbwa! Inanywewa ya motomoto ikipoa hainyweki.. Adhabu ya kifo ikitolewa isipotekelezwa haraka.. Huweza kubalitishwa na kuwa kifungo cha maisha ama vinginevyo
Vivyo hivyo kwa mateka aliyeshikiliwa kwa muda mrefu.. Lile roho la kummaliza hushikwa na tahayari na kujikuta kila uchao mpango unaahirishwa!
Kwa hali hii je Polepole atakuja kuonekana tena akiwa hai? Na nini kitatokea kama atapatikana akiwa hai? Huu unaweza kuwa muujiza mwingine!
💩💩💩💩Wenye nia njema nae japo kuna Wapumbavu mnatudharau humu tulipokuwa tukimshauri kwa uzuri tu hadi kuanzisha Mada za kumsihi si mlikuwa hamtuelewi? Nimetukanwa na Kudhihakiwa mno hapa kwa Mada zangu mbili tatu za Kumsihi na Kumuonya huku nikimtaka abadilishe Strategies zake kwani alikokuwa akipambana napo hapajawahi Kushindwa hata kwingineko duniani na asisahau pia kuwa alishakula Kiapo ambacho logically tu ukienda nacho Kinyume hakuna msalia mtume zaidi ya Kuondoka mazima na kuwaacha Wanafiki duniani wakijifanya Kukulia na Kinafiki kabisa kukuita Shujaa wakati hata Vita ulivyokuwa ukivipigana vilikuwa ni vya Kitoto na visivyokuwa na Malengo na Maandalizi ya Kimbinu. Endeleeni kututukana, ila wengine hatujawa akina ''Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'' hivi hapa JamiiForums kimakosa.
Hakuna risk yeyote. Wangapi walitikisa serikali/CCM wakachimbwa biti waliporudi kitaa wakakaa kimyaa mazima. Binafsi nawashauri wamwachie tu hana madhara. Ni vile waafrika tuna unyani nyani fulani wa kukikimbilia kuumizana kwa mambo madogo. Hata zile lectures zake mbona zilikua za kupuuza tu.Risk za kumuacha polepole ni kubwa kuliko kuondoka nae mazima. Hii ni kwa hesabu za kijeshi/kipolisi/kijambazi au kioperesheni zisizojulikanwa. Polepole ndo limebakia jina tu hawez kupatikana nisikilizeni mm.
Na kama kaka yake anajua alipo, simple apataje ili watu wakiandamana D9 wakamtoe. Narudia tena risk ya kumuacha jamaa ni kubwa more than 100 timez.
Nyakati hazifanani na mazingira ni tofauti kabisa!Hakuna risk yeyote. Wangapi walitikisa serikali/CCM wakachimbwa biti waliporudi kitaa wakakaa kimyaa mazima. Binafsi nawashauri wamwachie tu hana madhara. Ni vile waafrika tuna unyani nyani fulani wa kukikimbilia kuumizana kwa mambo madogo. Hata zile lectures zake mbona zilikua za kupuuza tu.
Waulize wahuni wenzakeKuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee