Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,010
Mm nadhani mama anataka kufuata sheria na kanuni za uongozi wa taasisi yake.Kila mhimili unatakiwa kufanya kazi bila kuingiliwa.Mahakama ifanye kazi yake na isimuonee mtu,kama kweli Freeman ana kosa basi ahukumiwe lakini kama ni laa aachiwe huru.Lakini pia bunge lifanye kazi yake ila bahati mbaya bunge lilishaalibiwa na mwenda zake kwa hiyo sio bunge lenye watu wakureason .Tumuache mama afanye majukum yake kwenye taasis yake.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app