Pascal Pole pole kwa hali ilivyo si wa kubeza hata kidogo.. Mambo anayoyafunua ni elimu inayopandikiza uasi utakaodai actions na mabadiliko ndani ya ccm.. Mafunuo yake si ya kubeza hata kidogo! Hii August itakuwa ya moto sana chamaniI think,its a bit too little too late,hana Impact yoyote on the ground zaidi ya mitandaoni!
Huwezi kukata tawi la mti uliokalia,likikatika linakwenda na wewe,shuka chini, kwa kwa pembeni,ndipo upige hilo shoka moja mbuyu chini.
P
NRNE haijapoa bali shughuli za kichama zimepigwa kitanzi na mamlaka kwa kuhofia moto wake.. Wamwachie mwenyekiti na waruhusu CHADEMA kiendelee na harakati zake muoneSlowslow, kusema kuwa "state imekamatwa" ni kosa kuliko la jamaa Mhe. Tobo la kusema atakinukisha kweli kweli.
Kwa maneno mengine ni kuwa Slowslow na, Gwajiboy wanapaswa kuwa chumba kimoja na Mhe. Tobo huko Ukonga au Segerea kama kweli mnaamini kuwa wanaisema mamlaka bila hiana.
Nawaona Mr. Slowslow na Gwajiboy ni project ya mamlaka ili kuwahadaa ninyi wadanganyika ili Oktoba iende kama ilivyopangwa.
Ukiangalia hata upepo wa NRNE umepoa sana mitandaoni na site kadli tunavyoelekea Okotba lakini kinachosikika sana ni press conferences za Mr. Slowslow.
Na kipindi cha kampeni kikifika kila wiki hizo press conferences za Gwajiboy, Mazishi wa Bunda, Slowslow na wengine wengi zitakuja ili kuendelea kuwapoteza wadanganyika.
Mkijakuzinduka mtamkuta Mr. Slowslow anakunywa juice akiwa na dada poa akijipaka KYJelly huku Gwajiboy akirekodi kitu cha Dume na mkono wa baunsa halafu Mr. Mazishi , akila viazi na samaki mkubwa wa kuchemshwa naye akijirekodi video ili apate content ya kupositi mitandaoni.
Hao wote ni majasusi wapo kazini kuhalalisha uchaguzi hivyo msiwe wajinga.
Kwamba arudishe electronic card ya Chama ? Sasa atafanye majaribio ya kuona katiba, kanuni na desturi za Chama zinafanya kazi sawa sawa ama ni maandishi tu?....kwa kwa pembeni...
Kudhihirisha wazi kuwa wahuni wamechukia, tayari mmoja wa wahuni wakubwa, usiku usiku imebidi ajitokeze kujibu mapigo dhidi ya Pole pole, bahati mbaya mnoo akashindwa kujibu hoja na zaidi akaishia kutuma vijembe tu.
Aliyeimba mboga ukisema tu kuna mtu kaiba mboga anajijua na kuhamaki subili hatua ya kuwataja wasiojulikana nchi itasimamaHoja nzito isiyo na ushahidi.
Slowslow, kusema kuwa "state imekamatwa" ni kosa kuliko la jamaa Mhe. Tobo la kusema atakinukisha kweli kweli.
Kwa maneno mengine ni kuwa Slowslow na, Gwajiboy wanapaswa kuwa chumba kimoja na Mhe. Tobo huko Ukonga au Segerea kama kweli mnaamini kuwa wanaisema mamlaka bila hiana.
Nawaona Mr. Slowslow na Gwajiboy ni project ya mamlaka ili kuwahadaa ninyi wadanganyika ili Oktoba iende kama ilivyopangwa.
Ukiangalia hata upepo wa NRNE umepoa sana mitandaoni na site kadli tunavyoelekea Okotba lakini kinachosikika sana ni press conferences za Mr. Slowslow.
Na kipindi cha kampeni kikifika kila wiki hizo press conferences za Gwajiboy, Mazishi wa Bunda, Slowslow na wengine wengi zitakuja ili kuendelea kuwapoteza wadanganyika.
Mkijakuzinduka mtamkuta Mr. Slowslow anakunywa juice akiwa na dada poa akijipaka KYJelly huku Gwajiboy akirekodi kitu cha Dume na mkono wa baunsa halafu Mr. Mazishi , akila viazi na samaki mkubwa wa kuchemshwa naye akijirekodi video ili apate content ya kupositi mitandaoni.
Hao wote ni majasusi wapo kazini kuhalalisha uchaguzi hivyo msiwe wajinga.
Huyu mzee Msuya ni yupi?Key players wanaoweza kusikika sana wiki hii:
Mzee Butiku
JK
Mzee Msuya
RA
Nyakati kama hizi wangemuachia japo kidogo lisimba la Kizimkazi.Duh。。。!, ,hoja zote zitajibiwa,tuamuaanda Stivu, Mwijaku na Baba Levo wanamtosha,viongozi wetu wako bize na jambo letu lile,hawana time ya kujibishana na watu wa mitandaoni!, ila kwa hadhi yako na heshima humu,hoja ni za sana,ila picha ondoa!watu wengine tuko very sensitive,ukiangalia picha za vitu fulani,unasikia mpaka harufu!,tutashindwa kupiga Breakfast。
Nakuomba please!
P
Jana, Polepole amesema hayo mambo ya maadili, Mila na desturi yaliwekwa kwenye katiba ya warioba na ndio maana viongozi hawayataki na wakaichakachua katiba ya warioba - ikawa haina maana tena. Katiba hiyo ilitaka kuwaadabisha viongozi Kama wananchi walivyotaka, but viongozi wakaipindua na kuichakachua na kuondoa hayo mambo ya kuadabishwa.Hizi mila na desturi anazoeleza Kiroboto ni kwanini hazikutungiwa sheria na kuwa katika maandishi. Jamii zetu za ki Afrika zilipoteza mila na desturi nzuri za zamani kwakua utaratibu wa kukabidhiana mila hizi uliharibiwa na biashara ya watumwa .karne hii bado tunategemea kukabidhi kizazi kinachofuata desturi za sumulizi.
Kwa jinsi Polepole anavyo uwasha, itapelekea wamnganganie Lissu hadi uchaguzi upite. Jana, Musiba naye kalalamika kwamba wajumbe walimfyekelea mbali Kwa sababu tu ya ukaribu wake na Polepole… sijui Kama ni kweli, sasa hao wawili ni moto wa ndani ya ccm, lazima wataudhibiti kabla ya kusambaa huko nje.NRNE haijapoa bali shughuli za kichama zimepigwa kitanzi na mamlaka kwa kuhofia moto wake.. Wamwachie mwenyekiti na waruhusu CHADEMA kiendelee na harakati zake muone
Ili kufanyike mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm, lazima kwanza kutokee chama mbadala wa CCM, ndipo CCM, ipumzishwe kwa amani, mahesabu yangu ni Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Impact yake ninini? Mapinduzi ama mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm na mwanzo mpya wa mapambano wa kuirudishia Tanganyika kilichoporwa na wahuni
Poti, da, “Mwaka 2030- wajinga wote watakuwa wamemalizika”- machawa watakwenda wapi au nao pia itakuwa zilipendwa?Ili kufanyike mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm, lalima kwanza kutokee chama mbadala wa CCM, ndipo CCM, ipumzishwe kwa amani, mahesabu yangu ni Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Hakuna cha kujibizana becquse majibu yote yapo publicTrust me hawawezi kujibu kama anavyotaka kwakuwa
1. Itakuwa kuthibitisha tuhuma za muda mrefu
2. Kumpa ushindi utakaompa mileage kubwa.. Then what next? End of era ya wanamtandao... Impact yake ninini? Mapinduzi ama mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm na mwanzo mpya wa mapambano wa kuirudishia Tanganyika kilichoporwa na wahuni
Itakuja ccm mpyaIli kufanyike mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm, lalima kwanza kutokee chama mbadala wa CCM, ndipo CCM, ipumzishwe kwa amani, mahesabu yangu ni Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P