Je hivi ndo Chadema wanajizika?

Status
Not open for further replies.
mfa maji hachoki kutapatapa..................hivi ccm inaamini kuna mtz anaifagilia?
 
jey key mvivu wa kufikili upooo!
mzee wa Club marekani na bembea.
NAONA USEMAYO YANAFANANA NA JINA LAKO.
 
Ndio maana wenzako wanathubutu kusema waliokufa sio wananchi ni wafuasi wa Chadema
Mijitu mingine inafikiria kinyumenyume
 
Wewe mpuuzi unayejiita Jey nani sijui.
Usilete mzaha kwenye maiti ya mwanadamu, mbaff.
 
Taarifa kutoka ofisi ya ccm mkoa wa dsm zinaonyesha kwamba gari mpya kabisa aina ya land cruiser ya ccm mkoa wa dsm imepata ajali na kupinduka na kuwa write off wakati ikiwa safarini kumpeleka mke wa yusuph makamba-katibu mkuu wa ccm mkoani tanga kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka.

Inadaiwa kuwa makamba alichukua gari hilo la ccm mkoa kibabe kwa kutumia cheo chake. Kama angefuata utaratibu ccm makao makuu inayo magari mengi ambayo yangefaa kwa shughuli hiyo, badala ya kujichukulia garo la mkoa ambalo sasa limepata ajali na kuharibika kabisa

naomba kuwasilisha

Hahahaaaaaa, angelifia mbali mke wa FISADI, mama yake Jey Key...... hahahaaaaaa
 
Jeykey you're beyond humanity.
Nimejiridhisha--with no doubt--kuwa wewe ulikuwa/ndiyo kiongozi wa mauaji dhidi ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
 



Je haya ndo yatakuwa mazishi ya Chadema kisiasa? natabri huu ndo utakuwa mwisho wao:target::target:

Muulize Mandela SA walikufa waafrika wa ngapi? ndio wakafika hapa wa lipo sasa? Kwa hali na mambo yanavyo endeshwa sasa lazima wafe watu tena wengi ili tupate tunachokitaka. Vinginevyo kukubali kuwaangalia mafisadi wakifaidi na wengine tukimeza mate.
 
utapata laana kwa kukejeli maiti, subiri tu utajua kuwa kufariki mwanadamu si jambo la kuletea masihara. Tubu kable laana haijakupata... shauri yako
 
Kwanini watu waone kufa kwenye maandamano ndio tatizo tu? Hebu tujiulize ni wangapi wanakufa hospitali kwa kukosa huduma na dawa za msingi kabisa ambazo zinakosekana kwa sababu ya huu ufisadi unaoendelea? Mimi ukiniuliza nachukia kufa hospitalini zaidi ambako kunasababishwa na uzembe, kukosa uzalendo na huruma kwa viongozi wetu. Afadhali kufia kwenye maandamano ambayo pengine yatatuletea mabadiliko ya kufanya watu wetu wasife mahospitalini kwa kukosa huduma muhimu na rahisi na kwenye maandamano pia. Hivi hamna mabaki ya wanajeshi wa lile jeshi la mwaka 1964 ili wasaidie hata ushauri kuwa katika hali kama hii tunanatakiwa tufanye nini hasa, watu uzoefu wao wa yale ya mwaka 1964.

Ila kuandamana huku waandamanaji wakiwa mikono mitupu wakati wanakutana na vyombo vya dola vyenye silaha tena zinazoua nao una weza kuwa uzembe wa kutokuwa na ubunifu.
 
MZAHA WA CUF KUWA 'CHAMA TAWALA' NA 'CHAMA CHA UPINZANI' KWA WAKATI MMOJA KWA KIPINDI KILE KILE NDANI YA TAIFA MOJA!!!




22.JPG

525 × 700 - David Kafulila, Kigoma Kusini. Mkutano

Ni gharama kubwa sana kwetu sisi wapigakura kuchagua baadhi ya vijana wasiokua na msimamo thabiti kwenda bungeni kutuwakilisha.

Nilimtaza huyu Ndugu Kafulila kwa uchungu mkubwa sana jinsi alivyokua anaongea bungeni kutaka kulazimisha ndoa ya kisiasa kati ya CHADEMA na CUF wakati anafahamu fika kwamba CUF ni chama tawala ndani ya mipaka yetu hii ya Tanzania kwa mujibu wa mwafaka wake na CCM.

Mtu asitfute njia ya mkato wa kutafuta CHADEMA kusaidia kusafisha uchafu wa utawal wa kisheria na kidemokrsia kama ambavyo CCM na CUF walivyojisababishia kwa MWAFAKA WA MAKAMBA kule Visiwani na sasa Mwafaka huo ulivyowaletea mikanganyiko ndani ya bunge la Muungano na hata kutishia kuvunja muungano wetu misingi ya kisheria itakapolazimika kuzingatiwa.

Kwa mtaji wa kitendo tu cha bunge letu tukufu kule Dodoma ITAKAPOSHAWISHIKA KULAZIMISHA KUBADILISHWA KWA KANUNI YA BUNGE inayozungumzia sifa na muundo wa chama rasmi cha Upinzani bungeni basi moja kwa moja tangu hapo tujue kwamba taifa letu litakua limeingia moja kwa moja KATIKA MGOGORO WA KIKATIBA ambayo matokea yake huenda yasipendeze sana kwa wengi wwetu.

Hakika mara baada ya CCM kulazimisha ndoa kati ya CUF na CHADEMA huku bara wakati wakijua kwamba kula Zanzibar ndoa ni kati ya CUF na CCM basi naona kuna uwezekano mkubwa wa WA KUZUKA KWA MISURURU YA KESI JUU YA MGOGORO WA KIKATIBA NA KUHITAJIKA KWEPO KWA MAHAKAMA YA KIKATIBA NCHINI AU WATU NA VIKUNDI VISIVYOAFIKI HIYO HALI KULAZIMIKA KWENDA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KUTAFUTA HAKI ILI KUNUSURU MUUNGANO WETU TANZANIA.

Mhe Kafulila, ulichukua angalau muda wako kuyafikiria haya kabla ya kuanza na mazungumzo yako kule bungeni???????????? Jamani tusipende kuleta majibu rahisi sana kwa swala ngumu kama hili.

Mwafaka wa Zanzibar ulikua na nia nzuri kwa kutulete utulivu kule visiwani lakini kwa kuwa wahusika huenda walikosa ushauri mzuri kisheria na matokeo ya utekelezaji wa mwafaka wenyewe ndani ya muungano wetu hasa kwa vyama vingine ambavyo havikuhushishwa kwenye mwafaka huo ndio leo hii imetufikisha hapa.

Nakumbuka sana Mhe James Mbatia alilipigia sana kelele wakati ule akitaka vyama vyote vya upinzani vihusishwa lakini kwa bahati maya sana hakusikilizwa na CCM. Inamaana Mbatia hakumpa briefing mbunge wake Kafulila juu ya ukwel huo???

Kwa mantiki hii hata mtu akilazimisha kubadilisha kanuni za mchezo bungeni wakati timu tayari ziko uwanjani tayari kucheza, jamba ambalo kwanza si la kawaida na ni ukiukwaji mkubwa wa misingi ya demokrasia ya vyama vingi ndani ya himaya ya nchi za jumuiya ya madola, pamoja na yote CUF bado haingii kisheria ndani ya kambi ya upinzani mpaka kwanza ama:

(1) CUF kijivue kutoka ndani ya mwafaka na CCM kule visiwani.

(2) au Serikali itangaze wazi kwamba kwa mwafaka wa CCM na CUF basi tayari walishavunja Muungano wetu na Zanzibar ili Watanzania tujue kabisaa kwamba kumbe mpaka sasa hatuna muungano ndipo CUF ipate kukubalika Bara kama chama cha upinzani bila kutupa jicho kwamba kule Visiwani chama hiki kimekaeje bungeni huko.

(3) Na kama hoja namba mbili ndio ukweli wa mambo ulivyo nchini mwetu basi kabla CUF haijavuka sakafu la bunge letu la muungano kule Dodoma kuja upande wa upinzani, kwa maana ya kwamba yanayoendelea bunge la Zanzibar sasa ionekane kana kwamba haituhusu huku Bara, basi kwanza ni sharti wabunge wote wa Zanzibar waondoke bungeni hapo bila kujali chama kilichomleta hapo bungeni.

Watanzania tuliowengi sana hatupendi hata kidogo tunu letu 'Muungano' kuvunjwa na mtu yeyote lakini mantiki hoja yenyewe inatuelekeza hivyo kwamba CUF kuingia kambi ya upinzani huku bara basi maana yake Muungano ulishavunja na wabunge wote kutoka Visiwani ni sharti waondoke bungeni Dodoma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom