Gari la CCM likiwa na Mama Makamba lapata ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la CCM likiwa na Mama Makamba lapata ajali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jatropha, Jan 13, 2011.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Taarifa kutoka ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam zinaonyesha kwamba gari mpya kabisa aina ya land cruiser ya CCM mkoa wa dsm imepata ajali na kupinduka na kuwa write off wakati ikiwa safarini kumpeleka mke wa Yusuph Makamba - katibu mkuu wa CCM mkoani Tanga kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka.

  Inadaiwa kuwa Makamba alichukua gari hilo la CCM mkoa kibabe kwa kutumia cheo chake. Kama angefuata utaratibu CCM makao makuu inayo magari mengi ambayo yangefaa kwa shughuli hiyo, badala ya kujichukulia gari la mkoa ambalo sasa limepata ajali na kuharibika kabisa.

  naomba kuwasilisha
   
 2. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  siku ya kufa nyani miti yote huteleza
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  rip wameumia wangapi?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  mkuu hapa hakuna haja ya kuangalia gari tena.. Tunataka kujua kama mtu ni mzima basi tunashukuru manake hawa mambo yao na ubadhirifu tunaujua na hakuna wa kuwazuia kufanya hivyo
   
 5. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka asante lakini mimi i love Makamba na naomba mkulu amwongezee kazi ili atutengenezee Chadema vizuri. Maana akiendelea utashangaa wanachama wa ccm wenzake wanahamia Chadema.
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  CCM wametoa hizo taarifa kupitia chombo kipi? Mapunziko wa mwisho wa mwaka upi?
   
 7. s

  smz JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamba atuambie Biblia inasemaje kwenye tukio kama hili
   
 8. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  mapumziko ya mwaka 2010. Hizi ni habari za kiitelejensia
   
 9. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,172
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka au Mwanzo wa Mwaka. Najua huu ni uzushi unajaribu kupima hali ya upepo.

  Ikitokea siku ikawa mkewe, mwanae hasa anayemtegemea sana ama mkewe ukiacha yule aliyemjaza ujauzito shuleni...... amepatwa na tatizo la nguvu za asili basi itapendeza sana, maana najua hatasita kutuambia "Biblia inasema Bwana alitoa na Bwana ametwa, Jina la Bwana libarikiwe":A S-confused1:
   
 10. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  "Kiinteligensia" Unajua hawa wasomi wanatufumba macho sana na maneno yao ya kiswahili cha kisasa....mara mpango kazi, mpango mkakati, kikosi kazi, mjasiriamali, semina elekezi.

  Hivi karibuni kila Polisi wanapotaka kuzuia watu kutekeleza haki zao za kikatiba wanazuiliwa kwa maneno kama ......habari za kiinteligensia.  Nadhani hii ya kuanguka gari ya CCM imepatikana kwa habari za KIINTELIGENSIA
   
 11. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  hakuna huruma kwa mafisadi makubwa haya. Lingekufwaa tu. Mungu atusaidie kuyapunguza majizi haya.
   
 12. m

  mams JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mungu atawaponya wote.
   
 13. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sijui kama utazidi kufurahi kujua dereva ni ndugu yako mliepotezana siku nyingi alimpa lift kaka yako aliekuachia ziwa!
   
 14. M

  Mzalendoo Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndugu umenivunja mbavu.
   
 15. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha this is a good one. Labda ni msaidie ku-quote kwenye hili
  "Amelaaniwa mtu yule amtegemea mwanadamu"
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Nadhani hapa ni kutoa pole kwa aliyeumia,si sote ni binadamu tupo safarini.Hata kama Makamba alionekana kushabikia mauaji ya Arusha,tumuachie yeye na Mungu wake.Makamaba asitujaze Roho ya kinyama...Namuombea Mhanga wa ajali hiyo awe hai
   
 17. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  kama kuna majeruhi basi Mungu awanusuru na kifo na awape huruma yake, kwani si kila baya litalipwa kwa baya.
  Mnakumbuka Mungu alimruhusu mtumishi wake mmoja aoe kahaba ili kudhihirisha machukizo aliyofanyiwa na wana wa israel?
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  R.i.p
   
 19. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Haya maneno ungeyatoa pia siku ya wahanga wa Arusha ningekuona mtu.
   
 20. K

  Kiponya Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Nitafurahi kusikia kua hajapona mtu kwenye hiyo gari"

  Hivi kweli tumefikia hatua hii? I dont know how far is too far when it comes to politics
   
Loading...