Je hili tatizo linaweza tatuliwa vip

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
kuna jamaa yangu mmoja wa karibu juzi kaja ananiomba ushauri ni nini afanye hili kuondokana na tatizo lifuatalo

jamaa ana mpennzi wake anampenda na anavyosema mpenzi wake pia anampenda, lakini kisanga kinakuja hapa jamaa wakiwa katika mambo flan round ya kwanza inakuwa pouwa, msala anasema kuanzia round ya pili, kwanza jogoo wake amawika vizuri japo anasema kwa kuchelewa, lakin chakushangaza anasema kuwa jamaa akiwa tayari jogoo kawika anavaa mpira ili mambo yaendelee, ajabu kabla ajafanya kitu jogoo analala tena akivua mpira na kujaribu kama anataka wafanye mambo yetu yalee bila mpira jamaa anawika tenaa, akisema avai mpira jamaa analala kama sio yeye vile na kali kuliko anasema ata akijitahidi asimame akiingia kwenye hekaya yake anafika kwa kilele mapema mnoo na kumwacha mwenzio akiwa na matamanio na hamu tele sasa jamaa anaogopa kuibiwa mali zake kwani hayuko tayari kumpoteza huyu mtu wake kwa tatizo hilo, na anasema kuwa mwanzo wa mambo alikuwa fiti sana na huwezo wake ulikuwa mzuri sana kwenye yale mambo sasa jf doctor huyu jamaa anaomba ushauri wa nini chakufanya na je anaweza kulimaliza vp hili tatizo?
 
pole sana p_prezdaa
japo umetumia nafsi ya tatu sijui ya nne.!

kama zamani ulikua fresh,
basi ina maana kuna kitu unatumia kwa sasa kinamaliza nguvu za kiume!

cha msingi komaa na vyakula vya asili zaidi...
kama unatumia aina yoyote ya madawa ya kulevya pia uache...

na unapokua kwenye tendo utulie...usipanic wala usiwe na roho ya uchu sana! ukipania sana game ngoma inasua...
pia joto jiingi linachangia...jaribu kufanyia mapenzi sehem yenye hewa nzuri...AC au feni...kwa ujumla pawe na kaubaridi...utafurahia.
 
Last edited by a moderator:
Sio mimi kaka ningekuwa mimi ningetiririka kwani haya matatizo ni ya kawaida kwa sana now days mkuu ni jamaa wangu wa karibu sana
 
Mwambie jamaa asijutie ila ni tatizo la kawaida kama yalivyo mengine. Msaidie kwa kumpa kuniandikia kwenye email yangu hii ishealthy@hotmail.com na atasahau kabisa tatizo lake kwa njia iliyo bora kwa afya yake
 
Back
Top Bottom