booker T washington
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 104
- 36
Nahisi litaripukammmh kimbia
Kwann alikuja geto bila ya kumualika? Na hawa hajagi geto mpaka nimualike? Siku ambayo sikumualika ndio aliyonipa penzi lakeSiyo bomu kitanda hakizai haramu
Tendo la sexual ndo lipo?!Habari wanajamii, naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananilatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kazaa ananiambia amebeba ujauzito wangu, Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KURIPULIWA?
Nipo na mawazo hayohilo ni bomu na umetegeshewa
Kuingiliana kimwili kuunganisha sehemu nyeti zetuTendo la sexual ndo lipo?!
Unaongea point mkuuKwa jinsi unavokosea kuandika lugha yako inaonekana na kupapasa maeneo nyeti unakosea ndio mana anakukataza
Mzigo siku moja, napata mazaoKataaaa kabisa kama yey anavyo fanya
Ni machungu tuSi dhambi kulea mtoto wa mwenzako