Habari zenu wana jf....,!! Napenda kwenda moja kwa moja kwenye mada. Mi nina mdogo wangu mtoto wa shangazi sasa miaka 33. Kamaliza chuo mda tu. Na pia ana ugonjwa wa kifafa unamsumbua tangu zamani. Ila shida yake moja akiwa naawzo au kitu kimemuuzi anapenda kukaa pekee yake sana na anakuwa na hasira mara nyingi tu. Namda mwingi kama hana kazi anapenda kukaa ndani tuuu. Pili ni mwoga sana na anakuwa na waswas wa bila sababu. Anaogopa hadi mahusiano ya kimapenzi. Sasa hapo tusaidiane atakuwa na tatizo gani au ndio kwa waganga wa kienyeji?? Pili huko kwa waganga wameenda lakini wapi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app