Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 11, 2018 #141 NAHUJA said: Sky Eclat 😎 Click to expand... Umbea hauna posho
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,448 Reaction score 25,833 Aug 16, 2018 #142 Asprin said: Fanya haraka. Mnaopima mnatusaidia sana ambao hatupimi hata kwa kushikiwa bastola Click to expand... akipima bibi inatosha au sio!! hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] nyie wazee wa enzi za ukoloni wabishi sana.
Asprin said: Fanya haraka. Mnaopima mnatusaidia sana ambao hatupimi hata kwa kushikiwa bastola Click to expand... akipima bibi inatosha au sio!! hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] nyie wazee wa enzi za ukoloni wabishi sana.
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,649 Reaction score 6,485 May 29, 2019 #143 Muundo na rangi ya hivi vidonde ukoje?
Lakunle JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 637 Reaction score 590 May 31, 2019 #144 Mtumiaji wa arv ukimpima tu kienyeji chumbani kwako ataonekana negative ..... Kuhusu ilo kopo ni lenyewe ndgu
Mtumiaji wa arv ukimpima tu kienyeji chumbani kwako ataonekana negative ..... Kuhusu ilo kopo ni lenyewe ndgu