Je! Hili ni BEEF kati ya CLOUDS na TIMES FM...?!

Je! Hili ni BEEF kati ya CLOUDS na TIMES FM...?!

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
3,504
Reaction score
2,256
Naona baada ya leo Clouds kusema kwamba hawatapiga Nyimbo za Bongo Fleva,Times wamesema Wiki hii nzima ni Mwendo wa Bongo fleva tu(Nyumbani ni Nyumbani)na mchana huu namesikia kwenye kipindi cha Miziki ya Taarabu wakipiga nyimbo ya Jide Joto Hasira! na Vijembe juu ambavyo mi nimeviona kama ni madongo kwa Radio Clouds...
Je hii inaashiria mwanzo wa Bifu Baina ya hizi Radio Mbili maarufu hapa Mjini?!

Sent from BlackBerry
 
Biashara ni mashindano wewe unaita BIFU!!!!!
 
Mtu mmoja anazuia kinachotakiwa na wengi...du kweli more money more power more security more attention
 
binafsi nnaziona oportunity kwa redio ndogo kukua kwa haraka na kuipita redio ya watu, na kifo cha clauds kipo wazi kama redio changa zitaitumia hii nafac vizuri
 
Clouds fm wamedhihirisha ulimbukeni wao rasmi tz.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naibili ,

Ni kweli mkuu redio za kibongo inabidi ziongeze bidii na ubunifu na hakika competetion itakuwa kubwa na hakutakuwa na haja ya wasanii kuegemea redio moja kujitangaza

Sent from BlackBerry
 
Last edited by a moderator:
Ikena ,

Ndio beef!

Sent from BlackBerry
 
Last edited by a moderator:
Controversy sales, but it ain't like death
-Jadakiss "Shots Fired"


Mos Def in "What's Beef"

[Mos Def]
Beef is not what Jay said to Nas
Beef is when workin' niggas can't find jobs
So they tryna find niggas to rob
Tryna find bigger guns so they can finish the job
Beef is when the crack kids can't find moms
Cause they end up inna PINE box or locked behind bars
Beef ain't the Summer Jam for Hot 97
Beef is the cocaine and AIDS epidemic
Beef don't come with a radio edit
Beef is when the judge is callin' you "defendant"
Beef, it comes with a long jail sentence
Handed down to you in a few short minutes
Beef is when your girl come through for a visit
Talkin' bout "I'm pregnant by some other nigga"
Beef is high blood pressure and bad credit
Need a loan for your home and you're too broke to get it
And all your little kids is doin is gettin' bigger
You tryin not to raise 'em around these wild niggas
Beef is when a gold digger got ya seat and a
A manicured hand out like "pay me nigga"
Or I'm tellin' your wife
Or startin' up some foul rumor that'll ruin your life
Beef is when a gangster ain't doin it right
Another gangster then decided what to do with his life
Beef is not what these famous niggas do on the mic
Beef is what George Bush would do in a fight
Yeah, beef is not what Ja said to 50
Beef is more than Irv not bein here with me
When a soldier ends his life with his own gun
Beef is tryin' to figure out what to tell his son
Beef is oil prices and geopolitics
Beef is Iraq, the West Bank, and Gaza Strip
Some beef is big and some beef is small
But what y'all call beef is not beef at all
Beef is real life happenin' everyday
And it's realer than them songs that you get at Kay Slay
This has been a Black Star PSA
From Mos Def, Pretty Flocko, black Dante
And the Black Star embassy, B to the K
 
Clouds si redio ya watu (watanzania) kwani ni hawa ndiye wanaojitahidi kuua muziki wa Tanzania kwa makusudi. Ruge na wenzake wamejitahidi sana kwa miaka karibia 14 kuua muziki wetu wa dansi, cha kushangaza huo muziki ndiyo unapendwa sana na watu hapa Tanzania shinda fleva. Clouds ife tu kwani sina hasara nayo na haina fundisho kwa jamii yetu.
 
Hayo ni mwazo yako tu mkuu, na kila mtu anaruhusiwa kutoa yake.

Naona baada ya leo Clouds kusema kwamba hawatapiga Nyimbo za Bongo Fleva,Times wamesema Wiki hii nzima ni Mwendo wa Bongo fleva tu(Nyumbani ni Nyumbani)na mchana huu namesikia kwenye kipindi cha Miziki ya Taarabu wakipiga nyimbo ya Jide Joto Hasira! na Vijembe juu ambavyo mi nimeviona kama ni madongo kwa Radio Clouds...
Je hii inaashiria mwanzo wa Bifu Baina ya hizi Radio Mbili maarufu hapa Mjini?!

Sent from BlackBerry
 
Back
Top Bottom