Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Ila unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unawewesekaNaanzaje kukupenda? Nilipende jina lako au avatar yako?
Jibu swali we mzee! 🤣🤣🤣Mmmh!
Naona Ushapata sitiii😁😁😁😁😁!!Mtaje shost tusaidie kumwambia akupunguzie masharti
Mkwe jibu swali.Narudia tena humu JF kuna watu wana stress sana na hilo utaliona kwenye nyuzi zao tu...
Kumbukumbu huku tulipendwa sana ila masharti nilishindwa ila kweli nilimpenda alinipenda kweliNarudia tena humu JF kuna watu wana stress sana na hilo utaliona kwenye nyuzi zao tu...
Mkwe jibu swali.
We ulishawahi kumpenda mtu humu?Em ngoja tuone comments...
Mapemaa kabisa, na nishaanza kuandaa mistari ya kumwimbia kijana wa Unique Flower amlegezee mtoto mashartiNaona Ushapata sitiii😁😁😁😁😁!!
Ngoja nimtagNilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage [emoji23][emoji23][emoji23]
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.
Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.
Ila kijana hajui
Huwezi mjuaaa nakuapiaNgoja nimtag