Je. hili jengo lilishabomolewa?

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Wakuu, mimi kwa sasa niko nje ya Dar. Swali langu ni kwamba, lile jengo pacha na lile lililoanguka katikati ya jiji lilibomolewa? Nakumbuka kulikuwa na mjadala kati ya uongozi na na baadhi ya wananchi. Wengine wakitaka libomilewe na wengine kulikingia kifua. Naomba walio jijini mnijuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom