Viongozi wamezidi dharau kwa wananchi wao.Nchi ngumu sana hii.
Hakuna cha utafiti wala kutumia akili. Ni waongo watupu.Eti baada ya utafiti wa kina wakaichagua DPW ile iliyofunguliwa kesi karibia nchi zote walizoenda kuwekeza!
Huo utafiti utakuwa ulifanywa na vipofu wa macho na akili.
Ogopa mtu anayeongopa kwa ujasiri mkubwa!Daah inauma! Watu wamepewa dhamana kuongoza wameamua kujimegea utajiri kwa hila!
Na watauona upumbavu wa kila mtanganyikaWanaona kila mtu ni mpumbavu
Wazee wa bahasha njoeni hapa mtudadavulie kwa facts... Lord denning, Faizafoxy mfia dini, covax, GUSSIE choiceVariable HIMARS!! NB; Msijeleta ngonjera hapa kila kitu kiko open. Jibuni hizi hoja ili mnachokikitetea raia wawaelewe!!Moja kwa moja kwenye mada,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli?
Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote?
Hebu tazama mifano michache hapa chini:-
View attachment 2690497View attachment 2690500View attachment 2690504
Hebu soma mtiririko hapo juu,
Je, sisi wananchi ni "majuha"?!
Au hii nchi ni kama familia ya mtu, anaamua tu kusema lolote hata kama sio kweli?!
Tuendelee hapa chini..
View attachment 2690506View attachment 2690508View attachment 2690509
Hebu soma tena mtiririko hapo juu,
Huyu ni Naibu Waziri, hapo alichokuwa anazungumza kipo wapi, kilichoandikwa kinaonekana kabisa, kuanzia 'heading' ya mkataba, hadi Appendix 1, phase2.
Nauliza hawa watu, are they jokers?! Is this a country really or just someone's family?!
Sisi ni "majuha?"
Tuendelee hapa chini tena..
View attachment 2690510View attachment 2690511View attachment 2690513
Hebu tafakari.
Hiki ni kituko, these people are not serious!
Na hizo negotiations za DP WORLD na wakenya zilipigwa chini mwaka 2022.
Hivi najiuliza kweli huko CCM Kuna mtu ako serious kabisa?
Haya tazama tena hapa chini, si wanasema sio mkataba ooh bado hatuna mkataba..
View attachment 2690517View attachment 2690520View attachment 2690526
Haya soma hapo juu, hiyo ni taarifa ya kamati ya Bunge, wanatamka kabisa "kwa kuwa MKATABA...",
Pia huyu anayeitwa Hamza Johari, anasema tumeweka kipengele katka mkataba kwamba hakuna mfanyakazi wa bandari....
Hicho kipengele wamekiweka wapi? Ktk MKATABA upi!?
Hivi ni maigizo au mazingaombwe?!
Hii nchi in TISS, JWTZ, PCCB, MAHAKAMA, BUNGE, MAWAZIRI, WABUNGE, TLS, LHRC, n.k
Hao wote wameshindwa kumsaidia mh. Rais Samia.?
Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki?!
Wote tumekuwa Taifa la ovyo kiasi hiki?!
Hii ni nchi au familia, ni akili au matope?!
🤣🤣Uongo wa mchana kweupe,wanatuonajeee?Eti baada ya utafiti wa kina wakaichagua DPW ile iliyofunguliwa kesi karibia nchi zote walizoenda kuwekeza!
Huo utafiti utakuwa ulifanywa na vipofu wa macho na akili.
Uzushi upo wapi hapo?Mtazusha kila aina ya uzusho!!
Ni ajabu kweli.Wanaona kila mtu ni mpumbavu
Nimescroll tuMoja kwa moja kwenye mada,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli?
Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote?
Hebu tazama mifano michache hapa chini:-
View attachment 2690497View attachment 2690500View attachment 2690504
Hebu soma mtiririko hapo juu,
Je, sisi wananchi ni "majuha"?!
Au hii nchi ni kama familia ya mtu, anaamua tu kusema lolote hata kama sio kweli?!
Tuendelee hapa chini..
View attachment 2690506View attachment 2690508View attachment 2690509
Hebu soma tena mtiririko hapo juu,
Huyu ni Naibu Waziri, hapo alichokuwa anazungumza kipo wapi, kilichoandikwa kinaonekana kabisa, kuanzia 'heading' ya mkataba, hadi Appendix 1, phase2.
Nauliza hawa watu, are they jokers?! Is this a country really or just someone's family?!
Sisi ni "majuha?"
Tuendelee hapa chini tena..
View attachment 2690510View attachment 2690511View attachment 2690513
Hebu tafakari.
Hiki ni kituko, these people are not serious!
Na hizo negotiations za DP WORLD na wakenya zilipigwa chini mwaka 2022.
Hivi najiuliza kweli huko CCM Kuna mtu ako serious kabisa?
Haya tazama tena hapa chini, si wanasema sio mkataba ooh bado hatuna mkataba..
View attachment 2690517View attachment 2690520View attachment 2690526
Haya soma hapo juu, hiyo ni taarifa ya kamati ya Bunge, wanatamka kabisa "kwa kuwa MKATABA...",
Pia huyu anayeitwa Hamza Johari, anasema tumeweka kipengele katka mkataba kwamba hakuna mfanyakazi wa bandari....
Hicho kipengele wamekiweka wapi? Ktk MKATABA upi!?
Hivi ni maigizo au mazingaombwe?!
Hii nchi in TISS, JWTZ, PCCB, MAHAKAMA, BUNGE, MAWAZIRI, WABUNGE, TLS, LHRC, n.k
Hao wote wameshindwa kumsaidia mh. Rais Samia.?
Yani tamaa za CCM za uchaguzi ujao na za 10% za rushwa ktk hili, linayumbisha nchi kiasi hiki?!
Wote tumekuwa Taifa la ovyo kiasi hiki?!
Hii ni nchi au familia, ni akili au matope?!
Tuna aibu nchi hii, acha tu.Jamii forums kuna vichwa kuliko vichwa water vilivyojazana kwenye Baraza la mawaziri and co. God bless CWR2016. Hawa watu wangekuwa na aibu wangejifungia kupata mbinu mpya. System nzima umeiaibisha. CCM mlishakosa aibu
Wanasoma kimya kimya, ..Wazee wa bahasha njoeni hapa mtudadavulie kwa facts... Lord denning, Faizafoxy mfia dini, covax, GUSSIE choiceVariable HIMARS!! NB; Msijeleta ngonjera hapa kila kitu kiko open. Jibuni hizi hoja ili mnachokikitetea raia wawaelewe!!