Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 151
Nimesoma Tanzaniadaima jumatano makala ya Bakari Mohamed isemayo 'Raisi Kikwete amesahau wajibu wake?'' ameeleza mengi ambayo kimsingi nakubaliana nae ila kuna sehemu anasema kwamba ahadi ya mwaka 2005 ya ccm ya kuanzishwa mahakama ya kadhi iliwekwa na Ben Mkapa na Phil Mangula na anasema kuna wakati Raisi Jk aliwalaumu watajwa hapo juu. Swali langu ni je Jk hakupitia kabla hajakubali ilani iandikwe? na je sio hila ya kutaka kunawa mikono na kuwatupia lawama wengine rejareja? Nawasilisha