Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

odbg

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
318
154
Aisee kuna jamaa yangu ananiambia hapa kuwa SUA wamedisco wanafunzi 1800 Mwaka huu. Sasa sielewi either wanafunzi hawasomi au elimu ya SUA iko tofauti na vyuo vingine.

Naomba ufafanuzi
 
SUA ni chuo kama vyuo vingine, suala la ku disco au kupata prob ni juhudi zako pekee
Anyway nadhani siku hizi makali yamepungua. Miaka hiyo ya maveteran kama Prof Mlambiti na akina Sembuche wakiwa wametamalaki, watu walikuwa wanarudi home bila formula,

Kusikia Yellow book inarudisha watu 200 september conference ilikuwa kawaida, and it was very normal kusikia econometrics na statistics zimekula karibu robo ya darasa.

Ilimradi tu watu wapate shida. Uliza kwanza kbla ya kutoa maoni yako, SUA haikuwa sehemu ya bata hata kidogo, no wonder hata night club zilijulikana nadhani mbili tu ambazo hata hivyo wateja wa SUA walikuwa wachache. Enzi hizo kusikia mambo kama Miss University ilikuwa ndoto sana. Unadisco kisa umeshikw somo moja mpaka tuta, ilikuwa raha sana.

Uliweza kufaulu usiende tuta lakini ukakutana na kizingiti kingine cha credit hour, zisipotosha wanakurukisha msamvu faster, ilikiwa kawaida kuwakuta watu kule grave wanalia wakipanga namna ya kurudi home. Anyway ukienda chuo jipange kusoma.

MBWA KULA MTU NI HABARI ILA MTU KULA MBWA NI HABARI YA KUSISIMUA ZAIDI.

usipaamiani sana SUA, nadhani utakuja na uzi mwingine hapa kama hayo mambo hayajabadilika. Kila la kheri na utunze comnent hii maana utanikumbuka.
 
natamani sana niitunze nije kukukumbuka lakini hapana, nilikwisha pita SUA bila probation pia Statistics(MTH) nimetoka nazo vzuri tu
kipindi naingia SUA nilijipromise kwamba Mazimbu(freedom-square) nitakwenda kuvaa joho pekee and that is what happened.

Nasisitiza tena kudisco au kupata prob ni juhudi zako tu...SUA iyo iyo watu wanachomoka wengine wanadakwa.

Nimepitia SUA kipindi watu wanasema Shule ngumu, lakini bado lipo kundi la wanaoenda 4stars,kahumba au blue room kwa kipindi icho still wanatoboa
 
Usiende ukiwa na hofu ya kufeli, nenda kama wale waendao vyuo vingine kwa FURAHA....Ukiweka na juhudi utatoka SALAMA
 
natamani sana niitunze nije kukukumbuka lakini hapana, nilikwisha pita SUA bila probation pia Statistics(MTH) nimetoka nazo vzuri tu
kipindi naingia SUA nilijipromise kwamba Mazimbu(freedom-square) nitakwenda kuvaa joho pekee and that is what happened.

Nasisitiza tena kudisco au kupata prob ni juhudi zako tu...SUA iyo iyo watu wanachomoka wengine wanadakwa.

Nimepitia SUA kipindi watu wanasema Shule ngumu, lakini bado lipo kundi la wanaoenda 4stars,kahumba au blue room kwa kipindi icho still wanatoboa
Niambie tu umepita mwaka gani maana kwa taarifa yako nami nimemaliza hapo.

Kipindi kile kwenye Agribusiness kulikuwa na kozi nyingi za botany kama vile unasoma animal science
 
Back
Top Bottom