doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,718
- 2,900
hivi bado kuna watu wanaweka password?
kama unasimu yenye uwezo wa kuwa na password na huitumii utakuwa hujiteendei haki katika ulimwengu wa udhrumishi. simu kwa wengine ndio kama computer. emails na nyaraka mbalimbali tena zingine confidential zimo humo. ni watu mwenye fikra potofu hudhani kila anayaweka password ni dalili za michepuko. hujiulizi kwanini uko jf kwa jina la hisia na umeweka password.