je hii ni halali?

je hii ni halali?

sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie

Hebu tupe mfano mmoja na wengine waelewe unachoongea maana wengine wanamuona zoba
 
na wewe kachukue mkopo halafu fanya hivi

1. Akipeleka mchanga wewe peleka kokoto (ratio 1:1)
2. akipeleka cement wewe peleka maji na makoleo na mbao na nondo (1:2)
3. Akipeleka mafundi wewe peleka watoto shule na lipa kodi ya nyumba (1:4)
4. Akipeleka tofali wewe peleka cement, bati na mbao za kuezekea (1:3)
5. .................etc
6. Ikikamilika leta wakili andikishieni urithi watoto 2 mlio nao (hafurukuti mutu hapa)...

sijasema mshindane bali

Wanawake wapendeni waume zenu VS Wanaume ishini vizuri/kwa akili na wake zenu

Good gooder goodest!! Nadhani huu ni ushauri wa busara sn, ndugu akiufuata hana haja ya wasiwasi tena kumoyo

Zingatia sn hayo maandishi mekundu
 
sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie
Dah pole sana aisee!
 
...tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu ana gari yake ya kwendea kazini...

Inaonesha mna matatizo makubwa kwenye priorities.
Mna magari mawili (hope ni vi-VITZ viwili ama vi-STARLET ama vi-DUET viwili). Kimoja kati ya hivyo vi-Vitz kingeanza ununuzi wa kiwanja (hasa hicho cha kwako), then ukakomaa na mkopo wa ujenzi. Gharama za uendeshaji wa magari mawili ni kubwa (mafuta+vibali kila mwaka+service+faini za barabarani+pasi za kila mara). Haya yote yangesaidia finishing.
 
sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie
poleni best
 
Ahsante, yalishapita, niliumiaga sana nilishindwa kabisa kuwasamehe wale watu, kwa vile mamangu alifanikiwa kujenga tena angalau maumivu moyoni yalipungua ila......

poleni best
 
we unafikiri kuishi na dada wa kichaga ni kama kuishi na mwanamke wa kizaramo au kimakonde sifagilii ukabila ila wanawake wa kichaga wengi wamesoma na wanatiming kali wanaona mbali either in a positive or negative way so akili zaidi inahitajika kuishi nao

na mimi nakuunga mkono, na sipendi ukabila kabisa!! nimeona mengi kuhusu hawa dadaz wa kichagga na mahusiano yao na wanaume wa makabila mengine! You won't reach the end together! Utaporwa kila kitu hata na watoto pia! Kwao, wewe ni deal la kufanikiwa kimaisha. Na haijarishi amezaliwa au kukulia wapi kitu iko damuni. Jamani, Naomba waacheni waoane wenyewe kwa wenyewe, otherwise mtajuta kama mzee Kambona!
 
wazo lilikuwepo cha ajabu kipi mbona kuna makamu wa rais mmoja hapa bongo alikufa bila kujenga tulipanga mwaka jana ndio tununue hicho kiwanja mwaka huu tuanze uenzi yeye achukue mkopo tununue kiwanja mimi nichukue tuanze ujenzi tatizo jina lake kwenye hati kwa kiwanja cha kwanza ndani ya ndoa ,sure natakiwa kurudisha ukichwa wa mwanmme
Mkuu ktk mada hukuweka hayo wazi . Unajua kamwe usiige makosa ya wengine kwani kufa bila kujenga ni sifa njema , huoni kuwa hiyo ni failure. Sasa kama mlikua na mapatano na amevunja mapatano basi ni jambo jepesi tu kaeni myazungumze na ktk hicho kiwanja jadilianeni kubadili kidogo majina ya umiliki wa kiwanja kama vile waweza omba aongeze jina lako huku ukimweleza sababu za wewe kufanya hivyo. Mweleze kuwa ninyi ni binaddamu wakati wowote mwaweza kwazana ama kutofautiana na mambo yakawa ndivyo sivyo, hivyo ni bora mkaweka majina yenu wote ili nawe uwe na amani.
 
sasa ulitaka aandike jina la nani wakati kakopa pesa yeye na kanunua yeye? waja ufala; fanya kazi nawe nunua kiwanja kingine na uandike jina lako.
 
wakati tunaoana kila mtu alikuwa na gari yake ni gari yake ni vijigari vya bei rahisi na ni kawaida kwa dar es salaam si kila mtu mwenye gari ana nyumba labda kama unaishi mkoa tofauti na dar
Mkuu mdukuzi nadhani point ya watu8 ilikuwa ni kutaka kujua ilikuwaje kununua gari wakati hujanunua kiwanja, maana yake ni kwamba kwa maisha ya sasa mwanaume huanza kununua japo kiwanja ndipo anaweza kununua gari. Na ndio maana anashangaa kwa sababu kama ungenunua kiwanja kabla ya kununua gari basi usingekuja hapa kulalamika, ungesonga mbele na maisha yako kwa kujenga kwenye kiwanja chako na hicho cha mkeo ungamuachia akiendeleze mwenyewe na ndugu zake.
Lakini hapajaharibika kitu na wewe kachukue mkopo ukanunue kiwanja fasta ili muende sawa.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
haikatazwi mwanamke kumiliki mali mbona gari lina jina lake wala halinitishi mi hata daladala ntapanda incase sina hela ya mafuta au likiwa bovu,nyumba ni sensitive issue tena nyumba ya kwanza ndani ya ndoa pale ndio unapopatia usingizi wako tatizo sio kununua tatizo sjui dhamira yake
Anaweza kuwa na dhamira njema lkn kama unasikia kitu cha tofauti moyoni mwako basi hakikisha mnaandika majina yote 2 ie lako na lakwake . Hii itasaidia huko mbele iwapo ikitokea mkatofautiana na kuamua kuachana manake maisha ya ndoa hubadilika wakati mwingine.
 
Wana magari mawili halafu kiwanja chenyewe pesa ya mkopo... mtajenga kwa kukopa pia... aiseee...
Anyway, mwisho wa siku tunafanya mambo haya kwa ajili ya watoto. Changia kujenga kwa ajili ya watoto wako na sio kwa ajili ya mkeo.
Kama una wasiwasi na wanawake wanaotoka mlima mrefu Africa, kwanini ulimuoa?

Hapa kama sielewi vile,

Yaani mwanaume mwenye korodani mbili, una mke na watoto wawili.

Badala ya kununua kiwanja unakimbilia kununua gari/magari.

Mwisho wa siku unakuja mbele yetu kulalama kuwa mkeo kaandika kiwanja kwa jina lake.

In short mkeo (ingawaje kakosa busara) kakuona huwezi kuchanganya akili yako vizuri.
 
1. Asante kwa kutupa sifa ya kusoma
2. Pole shemeji yangu, kila kitu kina faida na hasara zake, ungeoa bogaz ingekuwa balaa lingine. NOA kichwa ujue jinsi gani ya kuishi nae kwa AKILI. Ni jukumu lako kuishi na Mkeo kwa Akili.
3. HUONI KAMA HIYO NI CHANGAMOTO Kwako? kakufungua akili sasa.. mmeoana mna 5 years, bila bila... Though nahisi huenda hajui kama kakosea, ni vyema kuzungumza nae pia. Kila la kheri.
asante shemeji ngapata shida mi mi chasaka
 
Ahsante, yalishapita, niliumiaga sana nilishindwa kabisa kuwasamehe wale watu, kwa vile mamangu alifanikiwa kujenga tena angalau maumivu moyoni yalipungua ila......

pole sana ram
 
Mkuu mdukuzi nadhani point ya watu8 ilikuwa ni kutaka kujua ilikuwaje kununua gari wakati hujanunua kiwanja, maana yake ni kwamba kwa maisha ya sasa mwanaume huanza kununua japo kiwanja ndipo anaweza kununua gari. Na ndio maana anashangaa kwa sababu kama ungenunua kiwanja kabla ya kununua gari basi usingekuja hapa kulalamika, ungesonga mbele na maisha yako kwa kujenga kwenye kiwanja chako na hicho cha mkeo ungamuachia akiendeleze mwenyewe na ndugu zake.
Lakini hapajaharibika kitu na wewe kachukue mkopo ukanunue kiwanja fasta ili muende sawa.
mtambuzi nakuheshimu na naheshimu mawazo yako ntayafanyia kazi nawashukuru sana wana jf nimeshapata solution kupitia michango yenu nilikosa usingizi kwa hili swala Mungu awabariki
 
sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie

naomba nikuulize swali, wanawake wana haki ya kumiliki mali? if yes, je ni dhambi kwao kuchukua mkopo (ambao watalipa wenyewe) na kununua asset? au dhambi ni kuandika majina yao?

swali jingine, huyo kaka akinunua kiwanja kingine, liandikwe jina la nani? kama ni la mwanaume, ina maana mali zote za wanandoa zinatakiwa ziandikwe jina la mwanaume kama ilivyokuwa kwa mama yako, kitu ambacho hata wewe unaonekana kukijutia mpaka leo. maana kiwanja kilikuwa cna jina la baba lakini mali haikuwa ya familia

nachotaka kusema, kila mmoja kwenye ndoa ana haki ya kumiliki mali. akae aongee na mke wake, waamue kama kiwanja kiandikwe majina yao yote mawili, maana inawezekana kwa mali isiyohamishika.
 
nimekaa kimya sijaongea kitu na mkataba tayari umeandikwa na malipo yote yameshafanyika ,nahofia kwenda kwa wanasheria atatake it serious inaweza kuharibu mahusiano na akaanza kufanya mambo yake kisirisiri
Kutokana na kuulizahukuumeshaonyesha hofu. Si kwamba unamwambia twende kwa mwanasheria, unaanzaongea nae taratibu na kumshauri kuwa inabidi hati ibadilishwe muandikwe wote wawili. Point utakayompa ni kuwa kwa kuwa mtachangia wote ni vema tangu mwanzo mkaandika majina yenbu woite. Jamani Wanasheria msaidienihuyukaka, Maana kwa kweli mahusiano ya sikuhizi ni mtihani mkubwa! Na ninategemea unafanya kwa heri.
 
cha mume cha wote cha mke cha mke
hii statement yako inaonyesha wewe ndio mwenye matatizo.
  • ndoa yako imejengwa kwa misingi ipi? maana naona siyo ya upendo, uaminifu na kuelewana.
  • mtu anayetakiwa kuwa mshauri wako mkuu, best friend wako, mpenzi wako, inaonekana unaishi naye kwa mashaka. humuamini hata kidogo.
  • unaishije na mwanamke usiyeweza kumuamini?
  • kama cha mke ni cha mke, cha mume ni cha wote, kwa nini ulikubali yeye achukue mkopo anunue kiwanja cha kujenga nyumba ya family? ungemwambia tu, achukue mkopo lkn ajenge nyumba yake mwenyewe afu we utajenga ya family.
siku ikitokea mkeo kapanda cheo ana mihela mingi kuliko wewe unaweza ukachanganyikiwa.
 
kwa maana hiyo mwanamke yeye kaumbiwa shida tu ndo mwenye kustahili kutimliwa na kubaki bila chochote? Hata mlalamike saivi wote 2napambana kuvitafta bana
Nia ya kustrugle kupoata hakihaimaanishi kubadili mfumo kutokakukandamiza mwanamke kwenda kukandamiza mwanaume. Sidhani kama nia ni kuona mwanaume anafukuzwa.Nia ni kuhakikisha wanasaidiana. Vivyohivyo kwakuwa wako kwenye ndoa hata suala lakuchukua mkopo nadhani angemshirikisha mumewe na property iwe ya familia. Namuelewa hofu yake kwa trend ya maisha ya sasa hivi. Kwani kuna ubaya gani basi kuandika kwa majina yao wote kwa kuwa effect ya mkopo ni kwa familia kwani hata kama mama kachukua mkopo yeye anapolipia mkopo pato la familia linapungua likewise kama baba ndiye aliyechukua mkopo. Nilivyoelewa mleta madahakujali mkekuchukua mkopo bali jina la kiwanja la mmpja wakatiyuko tayari kuchangia ujenzi.
 
Back
Top Bottom