BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Usimdanganye mwenzio kitamwakia baadae. Hapo mawili either mrudishie 50% halafu mbadilishe umiliki uwe wenu wote au msijenge hapo period. kuwa mbishi halafu utajuta bdaeMe sioni ubaya wa mkeo kuandika jina lake pengine aliona haina shida na ndio maana alikushirikisha suala la kununua pia, na isitoshe na yeye ana haki ya kumiliki acheni mambo ya ukandamizaji wa kijinsia. Kwani imeandikwa wapi mwanaume tu ndo mwenye haki ya kumiliki resorces?
now u r talking brother. hawa watu wapo kwenye ndoa lkn inaonekana hawapangi kwa pamoja. suala la kununua kiwanja si dogo, lazima mshirikishaneMkuu kitendo cha mwanamke/mke kuamua kuchukua mkopo benki, ningelikuwa ni mimi hilo unaloliita kijigari ningekiuza haraka mno ili kuongezea vijisenti kwenye hela ya kiwanja.
Kwa kufanya hivyo nina uhakika hata ushiriki wako katika ununuzi wa kiwanja ungelikuwa 100%.
Unajua kilichokutokea wewe ni kukosa kujiamini tokea mwanzo pale mkeo alipoamua kukopa hela(sina uhakika kama mlijadiliana) hadi alipotafuta na kununua kiwanja.
Yote haya ni kwa sababu ulionyesha ushirikiano hafifu ndio maana leo hii upo mbele yetu moyo wako ukiwa unatweta kwa wasiwasi.
Mwisho wa siku kuonesha wewe ni mwanaume mbinafsi kiasi gani, ni hapo mwishoni hayo maswali unayotuuliza.
Hivi mkuu ulipata kweli mafunzo ya namna ya kuishi na mke na kuwa mume responsible???
Hizo nyanga ulizouliza si ulipaswa kukaa chini na mkeo mzijadili, maana mkeo kahangaika kutafuta hela lakini wewe ni kama unaanza kuweka mapozi..
nema13 usiongee kishabiki,imagine mimi ni kaka yako then nyumba inaisha natimuliwa kwenye nyumba
pili angalia sheria ya ndoa inasemaje,mali yote iliyochumwa kwenye ndoa ni mali ya wote,pili anagalia utamaduni wa kiafrika mwanamume kulala kwenye nyumba yenye jina la mke inataka roho ngumu
ingeandikwa jina la wote au mtoto mi nisingekuja kuomba ushauri hapa
Mkopo achukue yeye
Jina uandikwe wewe
Mshahara akatwe yeye
Wanaume bwana
Mbona wewe ukinunua hata flash inaandikwa jina lako mkeo hahoji
Miaka yote uliyoishi na mkeo hujamwamini, hujamjua na unaiita hiyo ni ndoa???
suala la umiliki wa mali me naona ni makubaliano yenu kulingana na mnavyoaminiana bana! Tayari mna watoto doubts za nini hata kama mtaachana watoto c wataitumia iyo nyumba?Wee Nema13 kama mwanaume mwenye 2 balls mwanamke anunue kiwanja na wewe ung'ang'anie jina lako pia liwepo ilhali mwanamke hataki from the first place....and in case u dont know in african values mwanaume ndio hujenga nyumba ya familia yake,sasa wewe tega tega mwanamke amiliki njia za uchumi then uje uombe ushauri hapa.....hamna cha inferiority complex wala nini,ni wewe unashindwa ku-take lead...mara ngapi unaambiwa mali ya mwanamke ni ya mwanamke,ya mwanaume ni ya familia?hii ni FACT,get ur a.ss up and work,hatuwezi kwepa hii reality!
nshakwambia anatoka kwenye mlima mrefu wale watu ni kama homa za vipindi hawatabiriki ,uaminifu wako unaweza kukuponza coz ni wazuri kwa timing
kama tatizo ni mila za kiafrika, mwanaume hawezi kulala kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke, nenda kakope, mrudishie hela zake, badilisha jina la hati na gharama zote za ujenzi utoe wewe. otherwise na wewe tafuta kiwanja chako ujenge.
siku hizi it doesn't matter kama me au ke ndio mwenye uwezo. kinachotakiwa ni kuaminiana, kuongea na kupanga kwa pamoja. trust me, maisha yana vipindi tofauti, kuna wakati wewe utakuwa nazo nyingi, na kuna wakati yeye pia atakuwa nazo kuliko wewe. kama mke humuamini, kwa nini ulimuoa? kama huamini wanaotoka mlimani, kwa nini hukuoa kijijini kwenu?
nyie wanaume mnatakiwa muelewe kwamba nyakati hizi wanawake wana uwezo wa kipesa kama nyie, wana opportunities nyingi za kutengeneza pesa/ kupata ajira nzuri kama nyie. shule wote tunaenda na degree wote tunapata, sometimes kwa grades nzuri kuliko zenu.
so kuna mawili, tafuteni wake ambao hawana uwezo wa kipesa kabisa ili wawe wanawategemea kwa kila kitu na nyie muwe na amani ya moyo, au jifunzeni kuishi na wake zenu wanaoweza kuingiza kipato kama nyie
Usimdanganye mwenzio kitamwakia baadae. Hapo mawili either mrudishie 50% halafu mbadilishe umiliki uwe wenu wote au msijenge hapo period. kuwa mbishi halafu utajuta bdae
Hahahahahahahahaha duh hii nayo kali. Mimi nimejiuliza mwanaume miaka 5 hukuwa na wazo la kiwanja sasa kinanunuliwa kwa mkopo unaanza kupiga kelele sijui tushauri nini hapo. Inawezekana kabisa mmama amejua huyu mbaba hatakaa anunue kiwanja ni heri yeye akope pesa na kununua. Mkuu mtoa mada unachoweza kufanya ni omba kulipa deni ie huo mkopo na uombe hicho kiwanja kiandikwe majina yenu au majina ya watoto na huo ndio ukichwa wa mwanaume.Miaka 5 yote hamjaaminiana? Kwanza inawezekana yeye anakuamini, wewe tu humuamini. Angalia maana siku si nyingi utaanza kuwaza kama hao watoto wawili ni wako...
nshakwambia anatoka kwenye mlima mrefu wale watu ni kama homa za vipindi hawatabiriki ,uaminifu wako unaweza kukuponza coz ni wazuri kwa timing
Mkopo achukue yeye
Jina uandikwe wewe
Mshahara akatwe yeye
Wanaume bwana
Mbona wewe ukinunua hata flash inaandikwa jina lako mkeo hahoji
Miaka yote uliyoishi na mkeo hujamwamini, hujamjua na unaiita hiyo ni ndoa???
nilijua kama atachukua mkopo wote tumeajiliwa ilikuwa ni kiwanja cha bei poa tukakualiana achukue mkopo kinunuliwe fasta na mimi mwaka huu nichukue tuanze ujenzi tatizo ni jina lake kuapia kwenye document instedy majina yetu wote au watoto nini dhamira yake au bahati mbaya mimi sijuiKuna Ugomvi hapo, haiwezekan mkeo achukue mkopo bila wewe kujua, au kahongwa huko kazini? akupe docs zote uone kama ni mkopo halali au ye ndo kakopesha papuchi.
halafu mtakuwa wachaga nuie!