je hii ni halali?

je hii ni halali?

izo ndo inferiority complex sasa! Kwanini mwanaume akiwa titled kwenye mali mwanamke awe huru kukitumia na mwanamke akiwa titled wanaume mnahisi mwanamke ana tamaa?? Vitu tumepewa tumiliki wote sio jinsia moja bana

Wee Nema13 kama mwanaume mwenye 2 balls mwanamke anunue kiwanja na wewe ung'ang'anie jina lako pia liwepo ilhali mwanamke hataki from the first place....and in case u dont know in african values mwanaume ndio hujenga nyumba ya familia yake,sasa wewe tega tega mwanamke amiliki njia za uchumi then uje uombe ushauri hapa.....hamna cha inferiority complex wala nini,ni wewe unashindwa ku-take lead...mara ngapi unaambiwa mali ya mwanamke ni ya mwanamke,ya mwanaume ni ya familia?hii ni FACT,get ur a.ss up and work,hatuwezi kwepa hii reality!
 
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake ya kwendea kazini,mwaka jana mke wangu alichukua mkopo benki akataka kununua kiwanja ili tuanze ujenzi wa kibanda chetu,kilichonishangaza kwenye mkataba wa kuuziana hicho kiwanja aliandika jina lake

swali
je nichangie kwenye ujenzi wa nyumba hiyo?
je nani atakuwa mmiliki wa nyumba hiyo wakati makaratasi yana jina lake?
je hawezi kunifukuza kwenye nyumba hiyo siku mmoja ikizingatiwa anatoka kulee kwenye mlima mrefu kuliko yote afrika?
je nitapata amani ya ndoa kulala kwenye nyumba ambayo kiwanja kina jina la mke,usingizi upo hapo

Mkopo kachukua mwenyewe, ataulipa mwenyewe. ....sasa akuandike jina kwenye kiwanja ili iweje?. Kama kila mmoja alivyo na gari lake.....nawewe kachukue mkopo ununue kiwanja chako.
 
Wewe tatizo lako nini mkifa hiyo ni mali ya watoto au watoto sio wa kwako? hapo future ni watoto sio nyinyi tena hata mkifia kwenye hiyo ya kupanga ni poa tu. Nyumba ikiisha mwambie mpangishe mlipie watoto ada na kama vipi na wewe chukua mkopo mjenge kwenye kiwanja chenye jina lako muwe nazo mbili si faida hiyo? akitaka kukufunga bao wewe sawazisha atasuzika na roho yake.

i like it tatizo akitangulia yeye kwanza nduguze wakisema ni mali ya ndugu yao ?mwaka huu nina mpango wa kuchukua mkopo na mimi ninunue changu then ntaandika jina la watoto
 
Mkopo kachukua mwenyewe, ataulipa mwenyewe. ....sasa akuandike jina kwenye kiwanja ili iweje?. Kama kila mmoja alivyo na gari lake.....nawewe kachukue mkopo ununue kiwanja chako.

kumbuka huo mkopo tulishauriana yeyey achukue mwaka jana anunue kiwanja na mimi nichukue mwaka huu tuanze ujenzi umenipata,dhamana ni kazi zetu
 
Na ww kachukue mkopo bank unaolingana na wake muanze ujenzi.. ss hela atoe yy kiwanja kiwe chenu?? Mambo yamebadilika siku hz.. kaeni chini mliongee yy kachangia hapo ww nawe toa uonekane angalau umesimama na hilo...
 
i like it tatizo akitangulia yeye kwanza nduguze wakisema ni mali ya ndugu yao ?mwaka huu nina mpango wa kuchukua mkopo na mimi ninunue changu then ntaandika jina la watoto
Hilo la ndugu kurithi mali ya familia mbele ya watoto katika dunia ya leo na utandawazi wote huu mimi sijalijua bado; cha maana wewe sawazisha tu mabao atabana mwenyewe
 
Hapa kama sielewi vile,

Yaani mwanaume mwenye korodani mbili, una mke na watoto wawili.

Badala ya kununua kiwanja unakimbilia kununua gari/magari.

Mwisho wa siku unakuja mbele yetu kulalama kuwa mkeo kaandika kiwanja kwa jina lake.

In short mkeo (ingawaje kakosa busara) kakuona huwezi kuchanganya akili yako vizuri.

huyo anajiita baba mwenye gar badala ya baba mwenyenyumba
 
Wanaume wengine sijui mnaingia kwenye ndoa mkiwa mmepitia vyema mafunzo ya ndoa au mnakurupuka tu.

Tukio la kununua kiwanja cha kwanza kwa wanandoa huwa ni hatua moja kubwa sana na muhimu.

Sasa nashangaa na pengine wengine wanisaidie kushangaa kuwa mume huna taarifa zozote za namna mkataba ulivyoandikwa, hivi kweli hapa tatizo ni mke au ni wewe (umekiri hapo juu kuwa hukuongea chochote).

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh:lalala::lalala::lalala:
 
huyo anajiita baba mwenye gar badala ya baba mwenyenyumba
kawaida hiyo kwa mjini gharama za ujenzi ziko juu,kuliko magari kuna gari hadi ya milioni tatu,kutoka mbezi mpaka kariakoo kwa mwenye gari ni cheap kuliko anaye panda bodaboda mpaka kituoni na kumalizia na dalaldala asubuhi na jioni uliza kokote
 
Hilo la ndugu kurithi mali ya familia mbele ya watoto katika dunia ya leo na utandawazi wote huu mimi sijalijua bado; cha maana wewe sawazisha tu mabao atabana mwenyewe

asante kwa ushauri ila kumbuka anatoka mlima mrefu kuliko wote afrika( nasisitiza 0huwezi jua hiyo hati orijino itatunzwa wapi
 
usipo kuwa makini utahusika kwenye ujenz na marejesho ya mkopo na malez..... usije tangulia stend wakat naul anayo yeye
 
Kaka nakuambia hivi,
Mwite mkeo, mkae kikao kitakatifu. Mwambie wazi kuwa ulistuka sana kuona hati kaiandika jina lake wala sio lako kwani weye ndiyo mume halali wa kumuoa.
Mwambie, sasa utaandika mkataba mwingine wa kukihalalisha kiwanja hicho kwa familia yenu. Akikubali jua ilikuwa nia njema tu kuandika jina lake.
Endelea na hatua ya kuhalalisha kiwanja ili weye uwe na amani wakati wa ujenzi. Akikataa kubadili mkataba kwa vyovyote vile basi, usimsumbue. Huyo ana nia zake nyingine. Tafuta nawe chako ujenge. Hata hivyo, jihadhari naye sana kama akikataa kubadili mkataba huo.
 
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake ya kwendea kazini,mwaka jana mke wangu alichukua mkopo benki akataka kununua kiwanja ili tuanze ujenzi wa kibanda chetu,kilichonishangaza kwenye mkataba wa kuuziana hicho kiwanja aliandika jina lake

swali
je nichangie kwenye ujenzi wa nyumba hiyo?
je nani atakuwa mmiliki wa nyumba hiyo wakati makaratasi yana jina lake?
je hawezi kunifukuza kwenye nyumba hiyo siku mmoja ikizingatiwa anatoka kulee kwenye mlima mrefu kuliko yote afrika?
je nitapata amani ya ndoa kulala kwenye nyumba ambayo kiwanja kina jina la mke,usingizi upo hapo

hapo una chako
 
ndo maana 2tasema kuwa wanaume 2meumbwa mateso kwahyo fanya uhamuzi sahihi katka maisha katka kila jambo
 
Ukute mzee wa totoz na maendeleo huna. Nina watoto najenga kabisaaaaaa ukiniacha solemba wala sihangaiki na watoto wangu.
 
asante kwa ushauri ila kumbuka anatoka mlima mrefu kuliko wote afrika( nasisitiza 0huwezi jua hiyo hati orijino itatunzwa wapi

Ukinunua kijibastola ukajiwekea kiunoni ingekuwa akiba ya baadae
 
Ukute mzee wa totoz na maendeleo huna. Nina watoto najenga kabisaaaaaa ukiniacha solemba wala sihangaiki na watoto wangu.
totoz ilikuwa zamani now nimekuwa na akili za maendeleo ila nikiri mimi ni mpole sana kwake
 
Kaka nakuambia hivi,
Mwite mkeo, mkae kikao kitakatifu. Mwambie wazi kuwa ulistuka sana kuona hati kaiandika jina lake wala sio lako kwani weye ndiyo mume halali wa kumuoa.
Mwambie, sasa utaandika mkataba mwingine wa kukihalalisha kiwanja hicho kwa familia yenu. Akikubali jua ilikuwa nia njema tu kuandika jina lake.
Endelea na hatua ya kuhalalisha kiwanja ili weye uwe na amani wakati wa ujenzi. Akikataa kubadili mkataba kwa vyovyote vile basi, usimsumbue. Huyo ana nia zake nyingine. Tafuta nawe chako ujenge. Hata hivyo, jihadhari naye sana kama akikataa kubadili mkataba huo.

i like your idea thanx
 
kisheria hiyo ni matrimonial property...changia tu,ikitokea mkagombana mtagawana...wala usiichukulie vbaya,ni sawa tu na wewe kununua kiwanja kujenga then mnakaa wote kwan tatizo liko wapi akinunua mkeo mkakaa wote!!
 
Back
Top Bottom